ng`wana ong`wa kulwa
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 2,420
- 1,754
Mkuu swala la kuokoka sio swala la kuokoka il upate mke,then hata mimi ni muumini na pia nimesimama kwa mungu!
Hata mimi sijakuambia uokoke ili umpate maana watu wanaokoka ili waende kule Yesu Kristo wa Nazarethi amekwenda kuwaandalia makao.
Kama ungekuwa umesimama usinge hangaika na kuandika msg baadala yake unge fanya maombi Mungu akupe wa kufanana nawe,yawezekana ni tamaa za mwili tu zinakusukuma ndo unasema umempenda.Jipime wewe mwenyewe kama leo akakubali hautakula tunda mpaka mfunge ndoa? isije kuwa umekuja jamvini upewe mbinu za kumpata umege halafu uje na uzi nimelala na mlokole
"Nitakutafutia msaidizi wa kufanana na wewe"