samaki2011
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 1,775
- 469
Kinana anakiri udhaifu wa kiutendaji serikalini bila kueleza suluhisho lake, anatubu lakini hasemi kama dhambi ataacha. so no solution, hoja za ccm hovyooo kabisa
Nape anasema wazi kuwa jimboni kwa lisu ni hovyo hakuna maendeleo hata nusu lisu ni mzigo kwa wanasingida.
Kinana hajaongea lolote la maana , kama lipo iwekwe hapa na Gambas.....
Singida wamejielewa sana,mana wameondoka uwanjani wote wakabaki wale walioletwa kutoka ikungi,mtipa,ilongero,kijota na mtingo,hawa masikini wanategemea kurudishwa hawana pa kwenda!hongereni singida kwa kutaa kushudia viongozi wa chadema kutukanwa mkaona muondoke.
Lisu ni mzee wa kubwabwaja tu na kuimarisha CHAGADEMA tu jimboni kwake wala hapamuhusu.next year sijui ataanzaje kuomba kura.
hivi singida kuna wabunge wangapi wa chadema?
Ccm aibu Sana unatoa msaada wa fedha kwenye mikutano ha ha aibu Sana
Kinana ameshakua presidential material,akiongea unaona wazi kabisa watu wanatega sikio kunasa kila neno analotamka.