Unapata wapi ujasiri wakumwita mwenzako "MALAYA"?

Mkuu Kitoabu, umeharibu sehemu moja tu katika pachiko lako, pale ulipojumlisha watu wote humu Jf kama wahanga wa mapenzi kwa zaidi ya mtu mmoja. Ulivyo wewe usidhani kila mmoja yuko kihivyo.
 
Last edited by a moderator:
tabiayake akiwa na wwe anajuaanachat na wengine akiwa nawangine ana chati nawwe ukimwambia anasema ote sawa ilimradi awapangie muda
 
kubadilisha mpenzi haimaanishu u malaya bt kua na zaidi ya mmoja nisikuite malaya, no wanda hata mlevi hapendi itwa mlevi
 
Hero anamjua hero mwenzake so hata mtu akimwita mwenzake Malaya na yeye pia ni Malaya yawezekana kabisa washakutuna mahala
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom