Recent content by Licchie20

  1. Licchie20

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Where is fellain?
  2. Licchie20

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa

    Anayetoa ela hiyo hawezi kaa kwenye nyumba hyo,apo unauza kiwanja.ikifika milion 10 njoo pm
  3. Licchie20

    JamiiForums Tanzania Account yangu imeingizwa boom mara mbili batch 2&3

    Usijidanganye imeshawai nitokea boom lijalo hutokuta ata mia maana nilijifanya mjanja kutoa yote ila badae nilijuta
  4. Licchie20

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi kichwa kupasuka kwa mawazo

    Hahahahahahaha
  5. Licchie20

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

    Kachukue provisional result kama umemaliza mwaka huu
  6. Licchie20

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Vichekesho kama hivi vinapatikana looserpool tu
  7. Licchie20

    JamiiForums Tanzania Wale tulioingia chuo kwa mbwembwe na tukaishia kudisco kwa aibu tukutane hapa

    Sup 7 kwa mwaka ndo kidisco?kweli uko mnacheza,mzumbe 4 sup at any point of your study is disco
  8. Licchie20

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mke wa mtu ananitaka kwa nguvu

    Acha uzembe kijana kula mzigo uo,hzo ni bahati chache sana kaka.nilivyosoma tu hiyo thread udenda unanitoka hapa
  9. Licchie20

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suprise iliyobeba maumivu yangu

    The same situation napitia sasa ,nina manzi wa ananielewa sana na mimi namuelewa sana,anataka nimuoe ata kesho ila yeye bado ajamaliza chuo mi nimeshamaliza ka degree kangu sema vyuma bado vimekaza sana kwa upande wangu
  10. Licchie20

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ulinzi.

    Kwa nini umempa pole wakati yeye anatafuta kazi ikiwa hakuonesha dalili yyte ya kusikitika katika hyo thread yake?
  11. Licchie20

    JamiiForums Tanzania Luqman Maloto: Mbwembwe za keki kuutambia mkate

    Hili ni andiko bora kbsa kuwahi kulisoma humu jf
  12. Licchie20

    JamiiForums Tanzania Bachelor of helth system management

    Acha kumdanganya mwenzio,kuna waliosoma iyo course na mkopo wamekosa na pia haikuanza mwaka jna maana kuna watu tunagraduate nao mwaka huu labda kama ni chuo kingine na sio mzumbe
  13. Licchie20

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda ameripoti Kituo Kikuu cha Polisi leo, asindikizwa na jopo la wanasheria

    Watoto wa lumumba mnashida sana
  14. Licchie20

    JamiiForums Tanzania Msaada,wapi kuna degree ya HRM kati ya Mzumbe na TIA

    Simpati vyema mi nlizamia tu pub 113,mi kwangu fst
Back
Top Bottom