Account yangu imeingizwa boom mara mbili batch 2&3

Usijidanganye imeshawai nitokea boom lijalo hutokuta ata mia maana nilijifanya mjanja kutoa yote ila badae nilijuta
 
Habari zenu great thinkers! Mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza Mwaka wa masomo 2017/2018. Wiki mbili zilizopita tuliopata mkopo batch ya pili tuliambiwa tukasign ili tuweze kupewa fedha zetu. Tulisign na pesa zikaingizwa kwenye account zetu. Sasa juzi batch ya tatu wamepewa fedha zao na mimi kwenye account yangu fedha zikaingia tena kwa mara ya pili. Kwa kawaida inatakiwa niwe napewa laki tano tu kila semester Kutokana na asilimia ya mkopo wangu. Nachotaka kujua inakuaje hapo kwenye hizo fedha za mara ya pili ntadaiwa au? Nawasilisha!
032df36991a6f59546418415e44f9ed8.jpg
Hii ishu ilishawah nitokea mm mwaka jana ..........hapo kuna mwanafunz mwenzako pesa zake zimekuja kwako so its better ukatoa taarifa mapema kwa wahasibu wa chuo chako....mana huyo mwanafunz akienda ku state loan board mkopo wako utakuwa suspended
 
Usijidanganye imeshawai nitokea boom lijalo hutokuta ata mia maana nilijifanya mjanja kutoa yote ila badae nilijuta
Hata mm ishawah nitokea mkuu....dogo alienda ku state loan board then boom lililofuata sikupata hata dala
 
Tumia vizur maana boom lijalo hupati kitu..!
 
Habari zenu great thinkers! Mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza Mwaka wa masomo 2017/2018. Wiki mbili zilizopita tuliopata mkopo batch ya pili tuliambiwa tukasign ili tuweze kupewa fedha zetu. Tulisign na pesa zikaingizwa kwenye account zetu. Sasa juzi batch ya tatu wamepewa fedha zao na mimi kwenye account yangu fedha zikaingia tena kwa mara ya pili. Kwa kawaida inatakiwa niwe napewa laki tano tu kila semester Kutokana na asilimia ya mkopo wangu. Nachotaka kujua inakuaje hapo kwenye hizo fedha za mara ya pili ntadaiwa au? Nawasilisha!
032df36991a6f59546418415e44f9ed8.jpg

Acha uoga......tumia hela ikuzoee
 
dogo i doubt kama hio hela imeingia twice
kwanza boom la kwanza semister ya kwanza inakua kubwa almost 7k(+ stationary) baada ya magu kuingia so either wamekuekea hz stationary twice au upo special coarse wanapewa addition fund
 
Kama ziliingia bila kusign yanii hata Usijichanganyee uzitoeee..!! Utasuffer sana next boom...
 
Ilishawahi kunitokea hii. Nilizipiga kimya kimya. Ila sasa nalipa mkopo sijui kama na ile waliweka kwenye deni.
 
Mm washaniwekeaga mara mbili ilikuwa mil 1.4 badala ya lak 7 na hakuna aliyeuliza

Maana kosa alilifanya muhasibu ali double majina, niliilamba yote

Na sikuulizwa na mtu, kwahiyo ukijua sababu iliyosababisha kuwekewa hiyo hela,., kuna sababu za kijinga za muhasibu ,zina kusevu ww

USHAURI, kaa nayo hiyo hela usiile iache humo humo kwenye AC , kaa hata mwezi mzima ,ukiona kimya huitwi wala kuulizwa ITUMBUE,

Nina washkaj zangu tushazitumbua sana hela za stail hii ,ni ujinga wa wahasibu wenye D mbili
 
Nijuacho ni kua boom ni lazima upewe regardless asilimia ya Mkopo in full amount, hivyo hakuna kosa hapo
 
Back
Top Bottom