Nyumba inauzwa

Nyumba inauzwa

Nyumba inauzwa inavyumba sita ipo mtoni mtongani mtaa wa msikiti mweupe M 58
Hiyo kweli nyumba ya kuuza 58m hasa kwa wakati huu.nyumba Hiyo tena iko mtoni tena karibu na msikiti maana hakuna utulivu ukiuza bei nzuri 20m
 
Hiyo kweli nyumba ya kuuza 58m hasa kwa wakati huu.nyumba Hiyo tena iko mtoni tena karibu na msikiti maana hakuna utulivu ukiuza bei nzuri 20m
Tena 20m ni bei ya juu sana lakini bei halisi ya hiyo house 15 to 18m
 
Kila la kheri kama yangu nilitangaza tena chini ya bei hiyo na ni standard haijapata mtu mpaka mda huu..
All the best kwako
 
Anayetoa ela hiyo hawezi kaa kwenye nyumba hyo,apo unauza kiwanja.ikifika milion 10 njoo pm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom