Recent content by libaba PM

  1. L

    JamiiForums Tanzania CCM: Ni Nani Amewadanganya 9x0=90?

    Ccm ni genge la vilaza !
  2. L

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Mbowe apewa dhamana

    Wanadhani wanamkomoa Mbowe, wanadhani wanafifisha umaarufu wa Cdm, wrong calculation. . . . . Wanaishi kwa mbinu na mitazamo ya kale sana.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tukumbuke majina ya utani kwa walimu shule tulikotoka

    alipotoka Nganza , aliletwa Kwiro Mahenge, alituletea zawadi ya magunia ya Dagaa ! Alikua mkali sana , alitisha kama Simba . Alikua mcheza volleyball wa aina yake. . . . Magambo alipokuja Kwiro ndo akapachikwa jina la Mbwiko .
  4. L

    JamiiForums Tanzania Tukumbuke majina ya utani kwa walimu shule tulikotoka

    Mmenikumbusha mbali na hayo majina. Nilikua Kwiro secondari, headmaster wetu aliitwa Antony Magambo, sie tulimwita Mbwiko, mpaka leo sijui maana yake! Alikua mkali kama pilipili, hakua na kosa dogo , ni bakora kwakwenda mbele. Alitunyosha hakika. . . . Mungu ampe maisha marefu popote alipo.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kutokana na kuripoti ukweli wa yaliyojiri Arusha, Radio One hatarini kufungiwa

    Hivi Rostam anamtoto wa kike ? mi nataka kupunguza machungu
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kikwete ni Masiha

    Kikwete Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tz, ni masiha wa wapuuzi, wapotovu, na watu wenye mawazo yenye matege. huyo labda ni masiha wa Kifo, na maangamizo.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Wino Utakaoandikia Katiba Mpya (TZ) Ni ile Damu Iliyomwagika Arusha

    ukombozi hauko mbali nasi, upo karibu, tunahitaji kuunganisha mikono , tukiwa na dhamira safi , hakika hakuna wakutupinga.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mpasuko Chadema

    mAKAMBA BWANA, unanichekesha sana, hahahaaaah
  9. L

    JamiiForums Tanzania Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    Waislamu ndugu zangu, mbona tunamatatizo mengi kijamii yanayohitaji utatuzi wetu wala sio kulialia kwa wakristo, mbona tunatafuta huruma katika maswala ambayo tunaweza kutatua wenyewe ? ni ujinga kwakweli
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ununuaji wa magari

    Asanteni kwa hiyo Tsh 8.5m inatosha kununua hiyo gari.
  11. L

    JamiiForums Tanzania GE2010 Dr. Slaa in Mbeya (picha)

    SHIMBO , PRESSURE INA PANDA , PRESSURE INASHUKA
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ununuaji wa magari

    Asante Danzi, nashukuru kwa hayo.
  13. L

    JamiiForums Tanzania RIZ1 Kikwete anamiliki nyumba aliyonunua bilioni 1?

    huyu mtoto amekuwa chambo pale IMMA, AKILINDA RASLIMALI ZA MAFISADI HAPA MJINI.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ununuaji wa magari

    Nilikuwa naangalia mitandao mbalimbali ya magari ambayo wanaleta magari used hapa Tanzania. Bahati nikapata mtandao ambao umenivutia, una magari yanayoonekana ni mazuri kwa picha, lakini kwa kuwa uelewa wangu juu ya biashara hii ya magari ni mdogo, naomba wenye ufahamu mnisaidie. Je, Toyota Opa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Fahamu historia ya Mama Sophia Mathew Simba

    kifupi hata mie naanza mkakati wakutafuta mawasiliano nae ......hahaaaa mama Simba bana.
Back
Top Bottom