Fahamu historia ya Mama Sophia Mathew Simba

UWT tayari tumeshatengeneza mkakati wetu wa kuhakikisha wanawake wengi zaidi wanajitokeza kugombea kwenye majimbo. Majimbo siyo ya wanaume, majimbo ni yetu sote kwa hiyo kuna ziara tumeshajipanga. Tutazunguka nchi nzima kuhakikisha wanawake wanajitokeza kugombea kwenye majimbo.

Tutahakikisha wanakwenda kupiga kura na kuhamasisha wanawake kuipigia kura CCM. Kwa hiyo tunakwenda kupiga ndege watatu kwa jiwe moja

ukisoma kwa makini utagundua kuwa Sophia na wanawake wenzie pale UWT HIVI KARIBUNI WATAANZA KA KAMPENI YA KUWAHASISHA WANAWAKE KUCHAGUA CCM ......na hili litatekelezwa nnje ya muda wa kampeni maana ziara yao itakua na lengo la kuwatia moyo kinamama wa CCM kujitokeza kugombea nafasi katika uchaguzi mkuu ujao, na wakienda huko wataua ndege watatu kwa jiwe moja....swali Sophia na UWT wanajiandaa kuvunja sheria ya Tume ya Uchaguzi kuzuia kampeni nnje ya muda wa kampeni ? maana kuhamasisha wanawake waichague CCM KABLA YA MUDA NI kinyime cha sheria.
 
Huyu mama.Sasa kumbe amepitia maisha magumu halafu anakuja kutoa kauli za kutetea ufisadi?

Mama inaonekana ni mwepesi sana kusahau alikotoka
 
Huyu mama.Sasa kumbe amepitia maisha magumu halafu anakuja kutoa kauli za kutetea ufisadi?

Mama inaonekana ni mwepesi sana kusahau alikotoka

sio Tu mwepesi wa kusahau bali ni kilaza mzungu wa reli, amesoma lakini hajaelimika, wakala mkubwa kama si wakili mashuhuri wa mafisadi hapa TZ, ila katika hali ya kustusha bosi wake ni kama hamuoni.
 
jamani kama ni kiomgozi bora tunahitaji nini tena........... mi huyu mama naona saizi yake ni magogoni tu!!!!!!!!!........... hivi kuna mwansiasa muwazi hata nusu tu ya huyu hapa tz kwa sasa???................. toka mwanzo mie nilijua iki kifaa............... angalia jinsi alivyohakikisha suala la ukomo wa viti maalum linafikishwa nec, waliomtangulia wote walikuwa wanogopa, ni yeye pekee aliyethubutu......... mpaka hapo hamjakiona kisiki cha mpingo??? .........poleni............... na husna mwilima kazi imebaki kwake ku-proe hizi allegations or otherwise kwa matendo........................ nin imani sna na huyu mama........... big up mama yangu mpenzi..................

Muwazi wapi? maana mahusiano haya na Kitwana yalikuwa yanajulikana na kila mtu. Sasa kama ni muwazi basi angetaja na wengine waliommega hata kama tulikuwa hatuwafahamu. Ataje fulani na fulani mlikuwa hamuwajui lakini walizini na mimi. Hapo ndipo uwazi unaosema nitakubaliana nao. Otherwise ondoa porojo zako hapa zisizo na maana!
 
na akishasema itatusaidia nini kama ma great thinker???............. mbona mimi na wewe hatujasema tunawakwapua akina nani?? na hata tukisema tutamsaidia nani??............ be fair, huyu kawa muwazi na ndilo linalowashinda wengi. yeye kuwa muwazi haina maana ndiye muovu kushinda wote......... maisha yake ni shule tosha .... ameuza bia na hakudanganyika na vijiofa vya mafataki, leo ana shahada ya uzamili......... alina dada mnaohangaika na ofa mzingatie somo hapo............ baba yake alitaka asismsmia biashara zake tena za baa, hakutetereka......... leo ni waziri wa wizara nyeti ofisi ya rais........ tuangalie kwa makini kuna somo hapo............ anakiri kuzaa na mzee kondo, anasema watu hawakuwa wakielewa kwa nin "anamheshimu" kisi kile mzee kondo,.... anafafanua kuwa ni kwa sababu ni baba wa mtoto wake......... sote tusme pale kuna shule kubwa sana.......... shule ya heshima anayostahili mzazi mwenzio............. jamani huyu mama ni muungwana sana na mfano wa viongozi tunaotaka.........

mkiangalia kuteleza kwa hapa na plale kumbukeni kuwa "kama Mungu yeye angeangalia maovu yetu, ni nani angesismamam?............ lets be fair..........
Sasa kama great thinker mbona unashangilia uzinifu? Ni wajinga tu wanaweza kujisifu hadharani kwa uzinifu! Hili huwa ni tendo la aibu wala hatakulisema hadharani hatupendi!
 
Hakuna kitu hapo... du kumbe elimu ya ku-unga unga, kweli elimu bwana -ina-mku-expose mtu kwa urahisi sana.

Ameshafeli mara nyingi; amezibua vizibo... amepandia ndoa ya watu. yaani kila aina ya uchafu. Then Waziri wa Utawala bora.

The maximum she deserve ni mkuu wa wilaya.
 
kifupi hata mie naanza mkakati wakutafuta mawasiliano nae ......hahaaaa mama Simba bana.
 
Hongera mama Simba kwa kuwe mkweli na pia ngangari. Umepitia maisha aina zote hivyo unaelewa maisha magumu yanayowakumba wanawake mbalimbali kila siku.

Wanaume mnaongoza kwa umalaya halafu mnawalaumu wanawake wakizaa nje ya ndoa?

Ningependa kusoma pia mahojiano na mama Anna Kilango, nione atakuwa muwazi kiasi gani.

Wanaume wengi hawapendi wanawake wa shoka, wanataka wale goi goi ambao wanaweza kuwa control na kuwatumikisha kila siku. Ndio maana wanamwita mama Simba kituo cha polisi.
 
Chukua tano Mkuu..Umenena
 
angekuwa naelwa ugumu wa maisha unaowakabili wanawake waTZ asingefurahia kina RA kuiba raslimali zetu ambaz zingeweza kuwasaidia kina mama wa nnchi hii kutatua matatizo yao ya kiuchumi na kijamii.....
 
Hongera mama Simba kwa kuwe mkweli na pia ngangari. Umepitia maisha aina zote hivyo unaelewa maisha magumu yanayowakumba wanawake mbalimbali kila siku.

Wanaume mnaongoza kwa umalaya halafu mnawalaumu wanawake wakizaa nje ya ndoa?

Ningependa kusoma pia mahojiano na mama Anna Kilango, nione atakuwa muwazi kiasi gani.

Wanaume wengi hawapendi wanawake wa shoka, wanataka wale goi goi ambao wanaweza kuwa control na kuwatumikisha kila siku. Ndio maana wanamwita mama Simba kituo cha polisi.

heko, Umesema!
 
Hakuna kitu hapo... du kumbe elimu ya ku-unga unga, kweli elimu bwana -ina-mku-expose mtu kwa urahisi sana.

Ameshafeli mara nyingi; amezibua vizibo... amepandia ndoa ya watu. yaani kila aina ya uchafu. Then Waziri wa Utawala bora.

The maximum she deserve ni mkuu wa wilaya.

Hapo kwenye red mkuu, ni wangapi wangeweza kusema hayo hadharani? ni wangapi wana machafu zaidi ya hayo wamekaa nayo vifuani kwa kuwa watu hawayajui basi wanaonekana wasafi au ni kwa vile tu ya huyu mama yanajulikana, hata humu humu wapo wanaompiga madongo kwa matendo yake nao wapo humohumo kwenye vizibo, nyumba ndogo, wake za watu na waume za watu!
 
Nakupata, lakini unapotaka kuwa kwenye kutumikia jamii at least uwe role model kidogo jamani, sasa kama wewe ni kicheche.... Du! Alafu dada yangu, huyu mama pia msahaulifu sana.... mtu msahaulifu ana-elekea kwenye....

Kwa hakika hastahili kuwa Waziri, na sio tu waziri bali hafai kabisa kuwa waziri wa Utawala bora... Alafu kumbu age difference ya KK na yeye, na hili la kuingia kwenye ndoa za watu amelifanya akiwa mtu mzima, na kwa vyovyote vile wakati akila na KK alikuwa na mtu wa makamu yake... Du kazi ipo hapo.
 
Aliyoyapitia si shida kama ame learn through na kuonyehsa mabadiliko,hapo ndo kwenye utata,especially kwenye wizara ya utawala bora,ingemfaa zaidi kama ni kweli amejifunza na kubadilika maana ukweli uko pale pale kuwa watu hupendelea humble backgrounds kutoka kwa viongozi wao,someone they think they can relate with!
Sasa hayo mambo ya mwamume wa shoka ya hivi karibuni yanaonyesha kuwa she sometimes still reminescing the past!
 
Hivi alipokuwa anatibiwa sauzi alikuwa anasumbiliwa na nini?
nini maendeleo ya afya yake maana usikute kaugonjwa kameanza kurudi kwa style kichwani kisha tukaona kama msema kweli kumbe.......
 
Hongera mama Simba kwa kuwe mkweli na pia ngangari. Umepitia maisha aina zote hivyo unaelewa maisha magumu yanayowakumba wanawake mbalimbali kila siku.

Wanaume mnaongoza kwa umalaya halafu mnawalaumu wanawake wakizaa nje ya ndoa?

Ningependa kusoma pia mahojiano na mama Anna Kilango, nione atakuwa muwazi kiasi gani.

Wanaume wengi hawapendi wanawake wa shoka, wanataka wale goi goi ambao wanaweza kuwa control na kuwatumikisha kila siku. Ndio maana wanamwita mama Simba kituo cha polisi.
Nani anamwita kituo cha polisi huyu cha wote?
Humuoni anashangaa kwamba wanaume wanakwepa? yeye kukwepwa anaita wanamuogopa. Hajui wanaogopa kutembea na wanawake wazinzi!
Wewe tu ndio nashangaa unamuona wa maana. Huna haya?
Jaribu kupeleka majeshi uone kama utakosa kitu kwake!
Ukipata stori toka kwa KK sio ajabu alimuaacha kwa sababu ya ufuska tu!
 
Historia za baadhi ya wakubwa wetu zinatowa taswira mbaya kwa vijana wetu. Eti mtu anajisifu kuwa alikuwa na "boyfriend" alieakiishi nae kinyumba. Kwanini hawi mkweli na kusema kuwa alikuwa "hawara"? Sijui hii inatowa picha gani kwa wasichana na jamii kwa ujumla. Kuishi na Baba sawa na baba yako aliye na familia yake na bado usione soni na unajisifu!!! Pengine atwambie ukeli huyu Bibi ni miongoni mwa wale Opportunists ambao leo wako dini hii kesho nyengine mradi maslahi binafsi yanakamilika.Inatia wasiwasi kuwa Kitwana Kondo aliishi nae kama hawara bali alidanghanywa kuwa huyo mama alibadili dini na pale madaraka ya Kondo yalipokwisha huyo mama alibidi aachie ngazi na kuachana na unafiki aliokuwa akiufanya.
 
Pamona na yote nimeipenda idea yake ya ku-limit terms za speacial seats maana kuna watu walizibinafsisha
 
Mama Sophia Simba: Jengo jipya limekwisha, linangojea kufunguliwa. Lakini kwa kifupi sana niseme kwamba jengo hilo jipya haliko chini ya management ya UWT. Jengo jipya mkataba uliosainiwa ulikuwa ni mkataba wa UWT kulipwa certain amout of money kwa mwaka, hakuna percentage.
Mkataba uliosainiwa haukuwa mzuri. Kwa hiyo, sisi UWT hatuna eneo lolote. Sisi tutakuwa tunapata kodi ndogo tu. Kiwanja bado ni cha kwetu, lakini lile jengo wale tumeingia nao mkataba wa miaka 33. Kwa hiyo they will run that thing kwa muda wa miaka 33. Sisi tutapata pesa kidogo.

Naona aibu hata kuzisema. Pesa tutakazozipata kwa mwaka hazisaidii hata kuwalipa mishahara makatibu wetu wote wa jumuiya lakini ndiyo hivyo tumejifunza kutokana na makosa.

System yetu imeoza kila kona...
 
Back
Top Bottom