RIZ1 Kikwete anamiliki nyumba aliyonunua bilioni 1?

Mulamuzi

Member
Sep 25, 2010
8
0
Inasemekana Riz1 alinunua nyumba ya thamani ya Tsh bilioni moja (1,000,000,000/=) maeneo ya masaki,
Swali: Ana mradi gani wa kupata hela hizi zote? au ndo maana familia nzima inapambana kurudi Ikulu?. Mwenye huakika atujulishe.
 
Sishangai hata kidogo. Jina la huyu kijana limekuwa likitajwa kwenye miradi ya Richmond, Dowans n.k ambayo ni dhuluma kwa raia wa tanzania
 
Yafuatayo yafanyike:
  • Kufuatilia wizara ya ardhi kujua muuzaji na mnunuzi hata ile transfer deed ili tumning'inize kwa data, wadau ardhi watusaidie iletwe faster kesho iende hewani.
 
inasemekana riz1 alinunua nyumba ya thamani ya tsh bilioni moja (1,000,000,000/=) maeneo ya masaki,
swali: Ana mradi gani wa kupata hela hizi zote? Au ndo maana familia nzima inapambana kurudi ikulu?. Mwenye huakika atujulishe.
ccm ndo tunasema huo ni wivu sasa mbona bilion 1 kwa nyumba (PRESIDENTIAL BUILDING) kawaida saana sioni tatizo kwa hili bwana!
 
ccm ndo tunasema huo ni wivu sasa mbona bilion 1 kwa nyumba (PRESIDENTIAL BUILDING) kawaida saana sioni tatizo kwa hili bwana!

Kwa mafisadi hiyo ni kawaida. Kafanya kazi gani, kwa muda gani, kuweza kulimbikiza pesa hizi? TRA amelipa shilingi ngapi kama kodi ya mapato? Kweli naanza kuamini kuwa kuna wa TZ wasioona mbele ya pua zao!
 
Hiyo ndo serikali yako sasa hata ukatae maisha ndo yanavyoenda ndo maana tunasema tunataka mabadiliko.
 
Msiwe na wasiwasi kwani hizo nyumba na mali nyingine zote zilizokwibwa na hawa mafisadi zitarejeshwa serikalini baada ya zoezi la ukombozi wa nchi kukamilika Oktoba 31.
 
ccm ndo tunasema huo ni wivu sasa mbona bilion 1 kwa nyumba (PRESIDENTIAL BUILDING) kawaida saana sioni tatizo kwa hili bwana!

Eeh! we ni mtanzania wa kawaida kweli? Kweli mwenye aliyeshiba hamjui mwenye njaa, Bil. 1 ni kawaida saana? mmh!
 
Eeh! we ni mtanzania wa kawaida kweli? Kweli mwenye aliyeshiba hamjui mwenye njaa, Bil. 1 ni kawaida saana? mmh!
kawaida kama MAMA anatumi tufedha kidogo kwenye safari kama tumilion 22 tu, muulize Kinana! iweje kwa ajili ya Nyumba bwana!!
 
Inasemekana Riz1 alinunua nyumba ya thamani ya Tsh bilioni moja (1,000,000,000/=) maeneo ya masaki,
Swali: Ana mradi gani wa kupata hela hizi zote? au ndo maana familia nzima inapambana kurudi Ikulu?. Mwenye huakika atujulishe.

Uhakika/vielelezo vingekuwepo ingefaa ili hoja ichangiwe kwa haki zaidi
 
Naona Hili Jambo Halikumshtua Mjengwa, yeye ameshtushwa na Slaa kumtaja Msaliti Jukwaani
 
Mwambieni asome sahihi yangu.

Siku atapita tukiwa na Mkuki, kazi anayo. Mambo ni hapo mwezi ujao.

Leo piteni salama maana jeshi na Polisi ni mali yenu na mahakama juu,
 
ccm ndo tunasema huo ni wivu sasa mbona bilion 1 kwa nyumba (PRESIDENTIAL BUILDING) kawaida saana sioni tatizo kwa hili bwana!

:A S 13:Henge = Chenge :decision: ni kawaida yenu kusema ONE BILLION = Vijisenti, HOVYO
 
Back
Top Bottom