Recent content by Leomimi

  1. Leomimi

    JamiiForums Tanzania Bongo ukiwa na PhD lazima uchukiwe

    Tatizo ni wao wenyewe huwa na show off za kubore outomati watu hujiweka mbali nao
  2. Leomimi

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ikifika usiku ndugu nenda kalale, watu wanakufa sana usiku halafu nashangaa haitangazwi

    Mimi naomba nikusifu tu kwa utafutaji wako isee unapambana kisawasawa
  3. Leomimi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamkia chumbani kwa jirani ambaye ni mlokole haswa

    Sema nini wahuni sio watu jana mwenzio kapiga ukuni kamwaga mambo yake leo wewe umeyaaaaaala mpaka basi [emoji3][emoji3]
  4. Leomimi

    JamiiForums Tanzania Huwa mnafanyaje mkigundua hili

    Kwa wanawake huwa mnafanya nini mkigundua mwanaume ni mzee wa michepuko tena ya kubagain mume kama huyo unamfanya nini[emoji1312]
  5. Leomimi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempiga mtoto kibao, nimelia mimi

    Haha nyamaza
  6. Leomimi

    JamiiForums Tanzania Diamond Apewe Tuzo ya Heshima Kwa Kukuza Kiswahili

    Msisahau kumpa na kuzaa hovyo
  7. Leomimi

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji ongezeni kasi ya kutoa pasipoti ili pesa za mradi zirudi

    Hilo ni tangazo Lima toka nchi za wenzetu kwa mfano wewe mtanzania unataka kwenda shule nje na pass yako mwisho 2020 na shule yako ni ya zaidi 2020 hutoruhusiwa kusafiri na pass ya zamani kwa kuwa itakukuta haupo kwenu na kule utapokuwepo itakuwa ilishamaliza muda wake nadhani hapo tumeelewana
  8. Leomimi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa na vitu hivi halafu upo hivi, Utawamaliza wanawake kwa kweli

    Kuhusu wanawake police ni sheeda kwa umalaya nirudi kwako mwenye range kwanza hiyo gari sio yako ndio maana povuuuu pili ungekuwa mmiliki usingebishana na huyo dada muda wote asante
  9. Leomimi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niko tayari kuoa endapo nitapata mwanamke kama huyu

    Wela hadharani uwezo wako kipesa hatutaki mtu wa aina hii akaolewe kwenye njaa na mawazo
  10. Leomimi

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa kitanzania mumeona mjengo wa Dkt. Mengi

    Naona farniture alipewa mama tenda
  11. Leomimi

    JamiiForums Tanzania Ushahidi: Video inayodaiwa ni ya Gwajima nilikuwa nayo kwenye simu yangu tangia 2018, siyo ya Gwajima

    Bora msalie majumbani kwenu kama mmekosa makanisa
  12. Leomimi

    JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati tamthiliya ya Sultan isitazamwe na watoto, inawaumiza

    Tunachotakiwa kufanya ni kuwapangia watoto wetu program ya kuangalia serikali haina shida kwenye hilo
  13. Leomimi

    JamiiForums Tanzania Profesa Assad anunua nyumba za NSSF huko Tanga

    Wivu tu huna lolote Sent from my iPhone using JamiiForums
  14. Leomimi

    JamiiForums Tanzania Profesa Assad anunua nyumba za NSSF huko Tanga

    Fungeni mi...ndu yenu mfanye yenu masikini wakubwa Sent from my iPhone using JamiiForums
Back
Top Bottom