Ushahidi: Video inayodaiwa ni ya Gwajima nilikuwa nayo kwenye simu yangu tangia 2018, siyo ya Gwajima

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
Hii ni galery ya kwenye simu yangu inaonyesha video na picha mbalimbali nilizo download kwenye simu yangu, tangia kitambo kutoka group la Whatsapp na hakuna aliyesema ni Gwajima

Hiyo video inayosemwa ni ya Gwajima nilishaiona kitambo na hakuna aliyezania ni ya Gwajima hadi sasa baada ya kuhusiswa

1091497
 
Nataka mjiulize swali moja, kama ni video ya Gwajima kweli, kwa nini wasinge ipost moja kwa moja ikiwa yenyewe ila wameanza na kupost video ya Gwajima akijirekodi kwanza ambayo inamuonyesha sura?

Sababu ni kuwa walitaka wawajenge watu kisaikolojia kwanza kuwa Gwajima ndiye aliyejirekodi, hivyo kutuma video ya yeye akijirekodi kwanza, kisha kutuma video ya ntu anayefanana na yeye akijirekodi akila mzigo
Swali jingine ni je kwa nini video ivujishwe sasa hivi wakati ni ya zamani sana?
 
Hiyo video ingekuwa ya akajamba-nani msala ungekuwa wa kwake lakin Kwa gwajima inaonekana imetengenezwa!!!!

Kuna watu bado mnasubiri kuwaona manabii wa uwongo waliotabiriwa Kwenye Bible huku mkiwakingia kifua akina gwajima.....huyo jamaa yenu ni miongoni mwa wachungaji waongo ni tapeli tu
 
Niseme tu kuwa nimekuelewa vizuri sana na sijaelewa mantiki yawanao kubeza.

Mara kadhaa kumekua na vimambo flani kufanywa ili kuzima kitu ambacho by the time being kina utata.

Kwa wafuatiliaji wataelewa tu.
Hii ni galery ya kwenye simu yangu inaonyesha video na picha mbalimbali nilizo download kwenye simu yangu, tangia kitambo kutoka group la Whatsapp na hakuna aliyesema ni Gwajima

Hiyo video inayosemwa ni ya Gwajima nilishaiona kitambo na hakuna aliyezania ni ya Gwajima hadi sasa baada ya kuhusiswa

View attachment 1091497
 
Back
Top Bottom