Ukiwa na vitu hivi halafu upo hivi, Utawamaliza wanawake kwa kweli

Kuhusu wanawake police ni sheeda kwa umalaya nirudi kwako mwenye range kwanza hiyo gari sio yako ndio maana povuuuu pili ungekuwa mmiliki usingebishana na huyo dada muda wote asante
 
mtanisamehe kwa ninyi ambao ninapozungumzia maisha mazuri huwa mnakasirika. mtanisamehe maana ndo experience niliyo nayo. ni ngumu sana kwa mtu mvuvi kuzungumzia vizuri habari za kilimo.no ilivyo kwangu napata shida sana kuzungumzia shida na matatizo sababu sijawahi kukutana nayo zaidi zaidi nilipokuwa mdogo mama anasema nlikuwa nasumbua sana hasa kunywa maziwa na mayai.

jana nlitoka ofisini nikawa nimeamua nikale KFC na kufanya mizunguko kadhaa nikaja kutoke mataa ya pale Posta Akiba. ile sehemu nshishaijua kitambo kuna traffic washaifanya kitega uchumi. so wanasubiria tu ukichelewa kidogo kwenye taa ukawa unapita huku zinaishia wanakupiga mkono uwaachie chochote au wakuandikie.

alinikamata dada mmoja jana akidai nimepita wakati taa ya njano imewaka. mimi nlikuwa wa pili kutoka mwisho.sijui sababu ni nini akaona anikamate mimi mwenye Range Rover amwache jamaa aliyekuwa na Subaru nyuma yangu.nimepita nikaona ananipiga mkono... nikacheck nyuma nikaona kuna subaru nayo ipo inakuja nikajua labda anaisimamisha subaru.

nikaamua kutii sheria bila shuruti. nika indicate kushoto akanionesha nisimame pembeni ambako nipandishe nguzo za barabara.nikagoma nikasimama barabarani ila pembeni.mdada akaja mwenyewe kwa maringo akitingisha mwili... alikuwa mdada mweusi mrefu kiasi,kiuno chembamba na hips zimejitokeza.

sikuzima gari nikawa namsubiria akaaanza na kuchukua namba ya gari kuingiza kwenye kimashine chake. baadaye akaja kuangalia kwenye kioo na mwishowe akaja kugonga akitaka nishushe kioo.nikashusha kioo cha abiria. alinisalimia habari yako boss@ nikamjibu kifupi tu 'salama'
afande; unajua kosa lako?
mimi : hapana
afande; umevuka wakati taa nyekundu zimewaka
mimi; si kweli. nimevuka wakati taa za kijani zimeruhusu
afande; boss unabisha na mimi nimekuona ndugu yangu... naomba leseni nikuandikie;
mimi: huna cha kuniandikia, na leseni nimeisahau ofisini ukihitaji ntakupatia ila sina kosa.
afande; unaendeshaje gari bila leseni?
mimi: fande kwani sheria inasemaje kuhusu mtu anaposhindwa onesha leseni kwa wakati huo unapohitaji?
afande; kwa hiyo umekataa kulipia kosa la kuvuka wakati wa red right (akimaanisha red light)
mimi: afande xxxx (baada ya kusoma jina lake) nachelewa kazini. sina kosa na kama una ushahidi nioneshe nilipe haraka nataka kuondoka. kama ni suala la leseni twende ofisini.
afande: fatu... naondoka na huyu mheshimiwa kwenda kituoni nakuja...
akapanda kwenye gari.
mimi: funga mkanda
afande: unanijali eeeehhh.... haya boss mjeuri
mimi: tunaenda kituoni au wapi
afande: mi njaa inaniuma unataka unizungushe mpaka wapi au unataka unipeleke kwako ?
mimi: chukua biznez kadi yangu hii nitafute jioni tuzungumze huu ugomvi wetu unaishaje nikatoa nikampa akanambia niende nikamwache pale serena hotel atanitafuta baadaye.

jioni kweli alinitafuta amechangamka kweli na kuuliza nipo wapi ili tukutane tuongee... yule afande nimesha mwona ni mtu ambaye kabisa ametamani kuwa na mahusiano na mimi. usiku katuma meseji ananiita dear. anataka nikilala nimwote n.k aliaanza kuniuliza nisije mgombanisha na mke wangu.. nlimwambia bado sijaoa. akataka kujua nataka kuoa mke mwenye sifa zipi anafanya kazi gani.

kiufupi huyu dada tayari ameshakuwa ina love with either me au gari na mwonekano wangu. najiuliza naweezaje ku date mdada mwenye akili kama hii? huyu si ni tatizo tayari?leo nmemtumia tsh 50,000 ya lunch. nikamwambia nipo busy kidogo na vikao ofisini but when i am done nitamtafute mimi mwenyewe.kajibu meseji 'thank you love' just like that? ni mdada mzuri sikatai but kichwani nshamwona hana akili.

ukiwa na gari kali,pesa, mwonekano mzuri utawapanga saa wanawake wapumbavu utabadili tu rangi,maumbo,makabila,dini n.k wanawake kuweni akili .sisi wengine hatupendi ku date wanawake wapumbavu. maana nasikia waaambukiza upumbavu.
Nshomile kaaazi kweli
 
Teh teh teh ! Et unahela!!! Kulipa faini ya shs.30000 inakushinda unawezeje kumpa mtu elf50 ya lunch? By the way acha ulimbukeni
 
Acha majigambo kijana hilo Gari sio lako ni Shemeji yako,,unakaa kwa Shemeji unakula kwa Shemeji unalala kwa Shemeji we unatofauti gani na huyo dada yako aliyeolewa?acha ujinga tafuta pesa kijana.
 
Dogo dogo!!! Anyways ngoja nikupe ushindi maana una confidence ya nyuma ya keyboard. You won Mr Range Owner!
maneno ya maskini mwenye wivu. wenye akili wameenda kwenye hoja nashangaa wewe umejawa na hasira?umaskini wako ndo chanzo chako cha kutoa povu kila wakati unapoona wenzako wanazungumzia mambo ya furaha na amani. MBAYA ZAIDI YOU ARE UGLY,POOR AND LAYMAN. NIMESHAANDIKA SASA... WHAT ARE YOU GONNA DO ? UNATESEKA SANA SABABU YA CHUKI ZA KIMASKINI HI RANGE NI MOJA YA RANGE MBILI NILIZO NAZO UKIACHA WV, FORD na Toyota pekee nili nayo ni TOYOTA CROWN 4700 CC. UTAUMIA SANA KIJANA. UTAPIGIKA NA KUCHAKAA MOYONI NA MWILINI.
 
Back
Top Bottom