Recent content by Lemunyake

  1. Lemunyake

    Waliotajirika kupitia Q-Net njooni mtoe ushuhuda

    Dah , ina maana hawa wote walikuwaga mabosi kwenye mabenki ya nchini ??? Alokuwa ananiwinda alikuwa Banker pia - KCB na benki nyingine International , akaona QNET kaaacha kazi .
  2. Lemunyake

    Nimeahidiwa Q-Net kuwa bilionea baada ya miaka mitano

    Hata siku moja hawakubali, wamenitafuta zaidi ya mwaka na nusu , Mara kopa tu hela utazipata ndani ya miezi 3. Na wanatumia mbinu nyingi sana sana wanawake kama chambo!
  3. Lemunyake

    Kwa wale wanaotembea na waume za watu

    Vipi kuhusu wake za watu wanaotembea na waume za watu ambao sio waume zao ????[emoji57]
  4. Lemunyake

    Usajili wa Gari

    Habari za leo wajameni. Hivi kuna njia ya kujua mmiliki wa gari fulani kwa kutumia namba ya gari ? Najua nchi zingine unaweza kufanya hivyo online. Huku kwetu vipi ?
  5. Lemunyake

    Ulinzi kwenye SIMU YAKO ya android..!

    More info kuhusu tracking ya magari na pia personal asset tracking pls.
  6. Lemunyake

    MATUNDA NINAYOYAPENDA JE WEWE UNAYAPENDA MATUNDA YA AINA GANI? ELEZA HAPo

    Haya nayapenda sana. Yananikumbusha babangu mzazi ambaye hatunaye kwa sasa. Yalikuwa his favorites.
  7. Lemunyake

    Tanzania ya enzi hizo katika picha

    Mbona hapo hamna cha namba za mabasi wala nini. Hizo ni MILES , umbali kutoka iDodomya
  8. Lemunyake

    Fitina (Fitna )

    Naombeni msaada . Hili neno tafsiri yake kwa kiingereza ni nini ???
  9. Lemunyake

    Utapenda kusoma tena...?

    Mwanakijiji , wat happened to the stories ? Vitabu je ?
  10. Lemunyake

    Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

    Had one like that !!!! Damn I miss her !!!!
  11. Lemunyake

    hahahahahhahahhahaaaaaaaaaaaaa aaa

    Tehe. Tehe tehe tehe tehe tehe tiitiitii
  12. Lemunyake

    Kuoa si jambo dogo, unatakiwa uwe umejiandaa

    Haya mahesabu nimeyapenda !!!! Duh !!!
  13. Lemunyake

    Simba Yaitoa Setif: Simba1-3Setif.

    hongereni
  14. Lemunyake

    Best New Food Joint

    Guys from sinza mori kuelekea johannesberg hotel ni kona yako ya kwanza kulia kuelekea lion hotel ni tha first bar on your left hand inaitwa mseri mfikaji wa kwanza atakaye fika na kuonesha hii msg atapata kitita cha poshen moja ya chicken drums au kw jina lingine chicken lolly pop
Back
Top Bottom