Best New Food Joint | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Best New Food Joint

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Lemunyake, Feb 3, 2012.

 1. Lemunyake

  Lemunyake Senior Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Juzi nimegundua sehemu nzuri kweli ya kupata chakula , chenye international standards at Tz pricing. Huyu dogo alianza kwa kupika samaki kwa style tofauti na pamoja na specialty yake ya Ngisi !! Sasa hivi amediversify na chakula kilichopo sasa hivi includes , seafood , kuku - tandoori style , sambusa za nyama , as well as other dishes e.g wali nyama n.k. Sehemu yenyewe ipo Sinza sehemu panaitwa Mseri . Try it out !!
   
 2. R

  Retreat JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mseri ndio Sinza ipi tena, toa direction fresh wadau tukapatembelee this weekend.
   
 3. Lemunyake

  Lemunyake Senior Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Guys from sinza mori kuelekea johannesberg hotel ni kona yako ya kwanza kulia kuelekea lion hotel ni tha first bar on your left hand inaitwa mseri mfikaji wa kwanza atakaye fika na kuonesha hii msg atapata kitita cha poshen moja ya chicken drums au kw jina lingine chicken lolly pop
   
Loading...