Usajili wa Gari

Lemunyake

Senior Member
Sep 24, 2007
189
28
Habari za leo wajameni. Hivi kuna njia ya kujua mmiliki wa gari fulani kwa kutumia namba ya gari ? Najua nchi zingine unaweza kufanya hivyo online. Huku kwetu vipi ?
 
Huku navojua unaweza jua tu kama gari inadaiwa road licence basi. Kufanya ownershp verification mpaka tra.
 
Habari za leo wajameni. Hivi kuna njia ya kujua mmiliki wa gari fulani kwa kutumia namba ya gari ? Najua nchi zingine unaweza kufanya hivyo online. Huku kwetu vipi ?
Hiyo njia ya kuangalia kwa online ilikuwepo..juz juzi nikaisikia imetolewa
 
Back
Top Bottom