Recent content by lelo1

  1. L

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Njeteni, Kata ya Kwembe (Ubungo) ni changamoto kwa watumiaji kutokana na ubovu

    kuna hii barabara ya Mpiji magoe pia hali ni tete zaidi! manispaa ya Ubungo wamelala doro, Tanroad kama hawaoni vile. Uwajibikaji bongo bado sana.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kajala na mwanae waja na Reality Tv show yao

    Binamu...narudi ngoja kwanza
  3. L

    JamiiForums Tanzania Hakuna sehemu yenye Majungu, unafiki kama Maofisini

    wajaluo ni noma! ukute wako wa2 wao wanagonga kilugha tu na kunyanyapaa wengine!ila maofisini fitna na roho mbaya zinatumaliza
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Lulu, Majizzo yatangazwa Rasmi leo...

    warumi, hii ndoa mbona kimya?kuna mapingamizi ama ndo mtaa wa pili wanyamaze milele?
  5. L

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuchekeshwa na MC Pilipili?

    Nasikiaga kelele
  6. L

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kura za maoni UWT ya CCM watia nia ni 252 na wapiga kura ni 263

    Kairuki huko upareni hajapita kwenye Jimbo?
  7. L

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tamaa za Wateule wa Rais kutia nia Ubunge zitawaponza wengi. Ushahidi huu hapa wa Rais Magufuli na Humphrey Polepole

    Dogo nimeona kabugi sana!kapewa lift anapiga na honi.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Natafuta full package ya taa ya mbele yenye busta, kulia ya gari ya ist
  9. L

    JamiiForums Tanzania TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

    Gari lililobeba mwili wa marehemu!mbona si kawaida
  10. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamini ugomvi ni sehemu ya maisha ya ndoa/mahusiano

    Ndoa ni taasisi ya migogoro isiyokwisha!
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu nahisi huyu jamaa ananigongea demu wangu

    Na hivi shule zimefungwa kwa muda usiojulikana, pambana Sent using Jamii Forums mobile app
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mambo moto kwa interns wa TAESA kupata ajira, interview za kuzuga tu

    Hivi wanachukua fresher's ama hata walomaliza miaka ya nyuma?utaratibu ukoje mana ukituma email unaambiwa receipt mailbox full na namba zao hazipatikani hewani!msaada tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua biashara ya Uber kwa mkataba

    Shida ya hii biashara kumpata dereva mwaminifu aliye na kiu ya kufanya kazi!vija na wa cku hz hamna kitu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kungwi wa Arusha, Irene Mbowe afiwa na mumewe

    Keroro ndo nini? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom