Kungwi wa Arusha, Irene Mbowe afiwa na mumewe

Nijimazie isije ikawa na argue na katoto kangu kenye kanasubiri kuingia kidato cha tano, yaan utoto huu
Naishi katika nchi ambayo adult mortality rate ni 3 out 1000 adults. Manake katika kila watu 1000 wanaokufa ni watatu. Kwa Tanzania, mortality rate ni 229 out of 1000. Manake katika kila watu 1000 - watu 229 wanakufa. Sasa mimi na wewe ni nani ambaye ana pointi za maana kuongea katika hili? Mimi nimepata exposure abroad ambayo wewe haujapata. Na nikijaribu kuwaelimisha mnaona utoto. Bakini hivyo hivyo tu sasa. Source ya hizo data ni UN statistics.
 
Mume anamsaidia mke. Na mke anamsaidia mume. Kama alianguka kwa kisukari manake mwili uliishiwa glucose akazimia ikaleta kifo. Either alitumia insulin halafu hakula chakula au hakutumia insuli kabisa. Usipotumia, mwili unaishiwa glucose. Ukitumia na usipokula, sukari inapungua mwilini. Mkewe alifanya jitihada gani kuhakiki anakuwa sawa sababu ana tatizo la kisukari? Especially sababu yeye ni mfano kwa wengi na alitakiwa aweke ndoa yake mbele zaidi?
Haya Mambo yaone kwenye mtandao tu hizi perfect couple za mitandaoni zina taabu, shida na dhiki kuliko tunavyoaminishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom