Mambo moto kwa interns wa TAESA kupata ajira, interview za kuzuga tu

Machozi ya Simba

Machozi ya Simba

JF-Expert Member
3,219
2,000
Nadhani ni kuanzia mwaka jana serikali kupitia TAESA wamekuwa serious kuwatafutia vijana sehemu za kujitolea wakiwa kama interns.

Za chinichini ni kwamba hawa vijana hawawezi kuachwa ajira zikitoka katika mashirika wanayojitolea.

Achana na zile tambwe za utumishi kuwa na mamlaka pekee ya kuajiri, habari ni kwamba TAESA na Utumishi ni kama mama na mtoto wake hivyo tangazo la kazi likitoka na kukawa na interns kwenye hilo shirika basi hao interns wana uhakika mkubwa wa kuulamba maana wanakuwa wazoefu tayari wa jinsi kazi inavyofanyika na wanakua chini ya mwamvuli wa Taesa.

Za chini kwa chini ni kwamba zile nafasi za east African statistics institute, tanapa na Tra tayari kulikuwa na interns hivyo washaulamba.

Vijana mkaombe kujitolea kupitia Taesa, huwezi kuachwa hivi hivi.
 
L

lelo1

JF-Expert Member
577
500
Hivi wanachukua fresher's ama hata walomaliza miaka ya nyuma?utaratibu ukoje mana ukituma email unaambiwa receipt mailbox full na namba zao hazipatikani hewani!msaada tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M

mazaga one

JF-Expert Member
558

Kiukweli TAESA wapongezwe kwa kazi nzuri.Jamani serikali ya Awamu ya tano inapiga kazi Mimi shahidi,muwe na nidhamu tu.Afya hizo zimemwagwa,Ajira za walimu zinakuja muwe na subira.JPM kazini,Majaliwa kazini baba wa TAESA maana ipo chini ya ofisi yake.
Wale vijana wasio na pa kuanzia TAESA tembelea www.taesa.go.tz
HAPA KAZI TU.
 
A

alumn

JF-Expert Member
1,195
2,000
Mleta uzi ungekua ni wewe una kampuni afu una watu wa kujitolea then utoe nafasi ya kazi je? Ungetafuta mtu fresh kabisa? Au ungeangalia kwanza wenye uzoefu ulionao? Tuweke pembeni ushabiki alafu tuongee uhalisia.
 
TAESA chini ya Ofisi ya waziri Mkuu wapongezwe sana.Mimi nawafahamu watu wanaojitolea huko na wanalipwa pesa ya serikali njia ya Account kabisa na wengine wameajiriwa na serikali hivi karibuni kupitia hao hao TAESA.Jamani vijana tuiheshimu na kuipenda serikali yetu ya ya tano.Ajira za ualimu zinakuja mpunguze kuwa na maneno ya ovyo humu mitandaoni mtaajiriwa tu.Viva Serikali yetu.Madaktari zenu tembelea www.tamisemi.go.tz
mazagaone@gmail.com
Mhitimu kutoka UDOM.
 
Prince Kunta

Prince Kunta

JF-Expert Member
16,345

Mataga one hii awamu ya 5 ajira sio kipaumbele chetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chisaye

Chisaye

JF-Expert Member
319
500
Kiukweli TAESA wapongezwe kwa kazi nzuri.Jamani serikali ya Awamu ya tano inapiga kazi Mimi shahidi,muwe na nidhamu tu.Afya hizo zimemwagwa,Ajira za walimu zinakuja muwe na subira.JPM kazini,Majaliwa kazini baba wa TAESA maana ipo chini ya ofisi yake.
Wale vijana wasio na pa kuanzia TAESA tembelea www.taesa.go.tz
HAPA KAZI TU.
Duh...hadi hapa unaleta siasa mkuu?? eti hapa kazi tuu...sasa hapa kuna kazi gan..
 
Forum statistics

Threads
1,425,153

Messages
35,082,647

Members
538,214
Top Bottom