Recent content by Laela

  1. L

    Songwe: Gari la abiria(Coaster) lagongwa na Lori na kuua watu 19 papo hapo! Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi

    Poleni sana wafiwa,watu 19 wamefariki,15 wakiwa wanaune na 4 wanawake Sent using Jamii Forums mobile app
  2. L

    Hatimaye Nimepata Heka 5 Msolwa

    Hongera sana kwa kuwa na mawazo ya kilimo, ukilima vizuri na ukatunza vizuri ekari moja si pungufu ya gunia 30 za mahindi
  3. L

    Umezuka ugonjwa unaoshambulia mimea ya mahindi

    Mimi mwenyewe nimeathiriwa sana kwenye mahindi yangu, tujuzeni dawa nzuri
  4. L

    Vijana na janga la dawa za kuongeza nguvu za kiume

    Nguvu za kiume ni kuwa na hela
  5. L

    Nimeambiwa sina kibamia ila nina kinyanya chungu

    Tatizo siyo kibamia shida ni huyo mwenzio ana K kubwa
  6. L

    ITV Daima tafadhalini kwa mateso haya mnayotupa, tuombeni radhi haraka Watazamaji wenu

    Mmmhhh vijana mna mambl Sent using Jamii Forums mobile app
  7. L

    Tatizo la vipele vinavyotokana na kunyoa nywele kichwani chini ya kisogo (Acne Keloidalis Nuchae)

    Mimi nina tatizo hilo,tusaidie jina la hivyo vidonge ili tusaidike wengi
  8. L

    Nina mil1na nusu je nikinunua hisa za Voda zinaweza nilipa

    Nimefaidika sana na hii thread,big up wote mliotusaidia kutoa mawazo,hivyo chukua akili ya kuambiwa changanya na yako.
  9. L

    Allah! Nitangulie

    Chapa mdogo wangu,kwani pombe dhambi
  10. L

    Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

    Pole sana kwa hilo,mimi ni lecturer chuo fulani hapa Mbeya,je umepata GPA ya ngapi?na je hicho chuo wanapiga GPA ya overall ya semester zote mbili
  11. L

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Nashukuru sana kwa hii post,mimi mwenyewe siku nisipokunywa pombe naangaika sana kupata usingizi
Back
Top Bottom