Songwe: Gari la abiria(Coaster) lagongwa na Lori na kuua watu 19 papo hapo! Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
559
1,000
Gari aina ya Coaster imegongwa na Lori usiku huu eneo la Senjele Mkoani Songwe na kuua abiria wote pamoja na Dereva na kondakta wake.

Coaster ilitoka Tunduma kuelekea Mbeya

Idadi kamili ya miili bado haijajulikana kutokana na kupondeka pondeka sana

Coaster ilikuwa ikitoka Tunduma kuelekea Mbeya

30DB1062-D779-4FC6-ABC1-3A504FDB519E.jpeg

FC05E7F1-4EFB-4585-B8BD-3A856ADE62AE.jpeg


UPDATE:
Jumla ya watu waliokufa ni 19. Wanaume ni 15 na wanawake 4

======
FB_IMG_1550786963429~2.jpg
FB_IMG_1550786969020~2.jpg


5012FB2A-5890-49B1-BE23-181BAC82DB15.jpeg


Rais Magufuli atuma salamu za rambirabi kufuatia vifo vya watu 19 kwenye ajali Songwe

Ikulu.jpg
 

bato

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
3,478
2,000
Wekeni nyama.hii habari. Wengine hadi usingizi umepotea,leteni taarifa za kutosha
 

quier

JF-Expert Member
Nov 23, 2017
297
1,000
Asante kwa taarifa ndugu.
Mungu azilaze roho zilizopotelea kwenye ajali hiyo mahala pema pia akawape subira ndugu na jamaa wote.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom