Taadhari kabla hujapata hasara ukiwa kama kijana kabla hujaoa msichana msomi aliyesoma kwa fedha za mkopo wasiliana na bodi ya mikopo ili kujua msichana unaemuoa ana deni kiasi gani asije kukutia hasara ukawa mtumwa wa bodi ya mikopo ni ushauri tu.
Marekani imejikuta katika utata kuhusu jasusi wa zamani wa urusi ambae ni rais kwa sasa wa taifa hilo kubwa na lenye nguvu barani ulaya hiI ni kutokana na taarifa kutoka shirika ls ujasusi la marekani kujiridhisha kuwa urusi ilimsaidia rais wa marekani Donald trump kuingia ikulu ya white house...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.