radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,427
- 32,196
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amewashangaa vyama vya upinzani kwa kuweka wagombea katika uchaguzi mdogo wa madiwani nchini kwani kwasasa ilani inayofanya kazi ni ya CCM na kwamba hao wagombea wao wataenda kutekeleza ilani gani. Ameyasema hayo wakati akiwa katika kata ya Siuyu Jimbo la Singida Mashariki wilaya ya Ikungi alipokuwa akifungua kampeni za mgombea Udiwani kupitia tiketi ya CCM baada ya diwani Gerald Mahami wa CHADEMA kuvuliwa uongozi kutokana na kutoshiriki vikao vya baraza la madiwani la halmashauri ya Ikungi.
wakuu bapa nchemba alikuwa sahihi?
wakuu bapa nchemba alikuwa sahihi?