ladson mshana
Member
- Dec 23, 2015
- 14
- 6
Taadhari kabla hujapata hasara ukiwa kama kijana kabla hujaoa msichana msomi aliyesoma kwa fedha za mkopo wasiliana na bodi ya mikopo ili kujua msichana unaemuoa ana deni kiasi gani asije kukutia hasara ukawa mtumwa wa bodi ya mikopo ni ushauri tu.