Water bridge ...Pont-Canal du Sart, Belgium

Water bridge ...Pont-Canal du Sart, Belgium

Nimeona bora ku-share tuone wote.

16174736_1347488625296329_3424983759244856201_n.jpg
nilimsikia kiongozi mmoja akitangaza kwamba "Dsm itabadilika, nasema dsm itabadilika"...hapo alikuwa anaongea kabla daraja la kigamboni na mabasi mwendokasi hayajaanza....sasa sijui alikuwa anasema itabadilikaje? kwa daraja au kwa mwendokasi?...kwasababu sisi wengine hayo mabasi iya mwendokasi tumeshayaona na kuyapanda kwa miaka mingi sana, madaraja kama hayo au vitu vizuri tumeshaviona sana....nimekuja kugundua kuwa kuna umuhimu viongozi tunaowachagua wawe wanatoka nje ya nchi kwenda kusafisha macho wajifunze...kwasababu kwa kitu kidogo sana alichokifanya jk kwasababu ya kutojua kua hayo yalifanywa na wenzetu miaka hata 50 iliyopita, wao wanajiweka kwenye level moja. nchi yetu na dsm yao tupo nyuma sana kimaendeleo. tunatakiwa kutoka nje kwa wenzetu tukajifunze, tusiwe kama washamba wanaojiona wameendelea, siku ukija kwenda kwa wenzio watakushangaa kwani muda wote utakuwa unakodoa mimacho tu kuangalia mambo ya ajabu ambayo wenzio wameshayazoea. dsm itabadilika, imebadilika nini sasa? uchafu upo palepale,...dah
 
Ucjali mpaka mwakani utaiona hyo mubashara kutoka indian ocean kwenda chattle city!!!dalili zi wazi[emoji16] [emoji16] [emoji16]
ni hela tu mkuu, ukiwa na hela, unaweza kufanya chochote. sasa hapo garama iliyotumika hapa ni garama kuendesha wizara zote nchini kwetu hapa, tungekuwa na hela yote hayo tungejenga. sema wanachotuzidi wenzetu wanajenga kwa kiwango, sisi tunataka kutumia pesa kidogo kujenga vitu vikubwa, siku yakianza kuporomoka tunasimama kwenye majukwaa kutoa pole au kuwaambia hatutawapa misaada.
 
Back
Top Bottom