ladson mshana
Member
- Dec 23, 2015
- 14
- 6
Marekani imejikuta katika utata kuhusu jasusi wa zamani wa urusi ambae ni rais kwa sasa wa taifa hilo kubwa na lenye nguvu barani ulaya hiI ni kutokana na taarifa kutoka shirika ls ujasusi la marekani kujiridhisha kuwa urusi ilimsaidia rais wa marekani Donald trump kuingia ikulu ya white house dhidi ya mpinzani wake Hillary clinton wa chama cha democratic.