Recent content by kyutta

  1. kyutta

    Ndege ndogo ya kukodi

    Tafadhali jamani Nina Mgonjwa hapa hospital ya My.Gaspary Itigi - singida amepewa Referral kwenda muhimbili naomba kuunganishwa sasa hivi na anayehusika na Ndege za kukodi.
  2. kyutta

    TCU yatangaza alama mpya kwa mwanafunzi kuingia Chuo Kikuu

    Mbona guide book ya TCU bado hawajatoa? Ile habari itakuwa ya uongo
  3. kyutta

    Nahitaji vifaa vinavyoweza kuchuja asali ili niweze kuipaki

    Ndugu zangu kila siku natafuta kitu cha kufanya ili niongeze kopato nilikuwa nakwama kutokana na mazingira niliyopo, nimetamani kwenda chuo kuchukua degree ya ACC. lakini TCU wamekuja na hili la MTU mwenye DIPLOMA awe na GPA - 3.5 wakati Mimi Nina 3.3 ya Acc. Mimi nimewaza fursa na Pesa ninayo...
  4. kyutta

    TCU yatangaza alama mpya kwa mwanafunzi kuingia Chuo Kikuu

    Sasa Pesa zetu 50,000 tulizo lipia NACTE itakuwaje
  5. kyutta

    Sijawaelewa hawa TCU

    Namba mnisaidie Hawa TCU si wanahisika na waliomaliza frm6, sasa Hicho kifungu cha 5.1 cha waliomaliza DIPLOMA awe na GPA 3.5 kinawahusu nini wao, wakati wanafunzi wameisha apply through NACTE tokea mwezi wa NNE na sifa ilikuwa MTU awe na GPA ya 2.8, Naomba msaada hapo mbona TCU na NACTE...
  6. kyutta

    Nahitaji Mashine ya Kutengenez Bisi (PopCorn Mashine)

    Ninayo yangu ina mwaka mmoja tokea ninunue na sasa hivi siitumii IPO tu home, nicheki nikupe 0625692641(WhatsApp) au 0759324322 call
  7. kyutta

    CCM waanza kulaani zuio la mikutano

    Msimemo .....!
  8. kyutta

    Sheikh Mkuu wa Dsm ahudhuria ibada Kanisa la Ufunuo, asisitiza umoja na mshikamano kwa Watanzania

    Namkubali sana huyu shekhe ni waukweli anahekima sana na kuweza kubalance mambo
  9. kyutta

    Mkopo bila riba

    Ethiopian's bank
  10. kyutta

    Tuwajue Ma-DED waliopoteza majimbo na wamebakizwa!

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya ITIGI mkoani singida katemwa, alitokea karatu kile alikuwa Afisa ushirika, kaja itigi akawa anapangiwa kazi zake na Mwenyekiti wa Halmashauri, sasa katumbuliwa anaitwa MSAFIRI MSAFIRI
  11. kyutta

    Kilio kwa Azam Media

    Yaani Azam TV ovyo sana.
  12. kyutta

    Mtanzania afanikiwa kuunda na kurusha helkopta yake huko Tunduma Songwe

    Wame edit hiyo picha, angalia ndani Kuna reflect za nyumba sasa huko juu Nyumba zimetokea wapi, hill panga mbona halizungiki kimvuli kimesimama.
Back
Top Bottom