CCM waanza kulaani zuio la mikutano

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Hivi CCM haitafanya mikutano ya hadhara kutambulisha sekretariati yake mpya na Viongozi wapya?

Je hakutakuwa na mkutano wa hadhara Dodoma kumtambulisha Mkiti mpya mpaka 2020?

Je hakutakuwa na mapokezi Dar ya kumpokea Mkiti mpya mpaka 2020?

MyTake

msumeno unakata pande mbili
 
tz kila kitu cha kishenzi kinawezekana tu,c watakuja na tangazo uchwara tena?!???wametoa mashati na vest,wataendelea kujivua nguo taratibu tu.
 
Hukusikia taarifa ya policcm kuhusu katazo la mikutano ya hadhara???walisema ilikuwa Na kwamba hali ya usalama sio Nzuri kwa hyo hali ya usalama ikitengamaa mikutano itaruhusiwa...nadhani kqa watu wenye akili walielewa vizuri sana dhumuni la ile taarifa Na kwa nn imetolewa wakati huu..kwa hyo mikutano ya ccm itafanyika na watu wakihoji wataambia hali ya usalama kwa Sasa inaruhusu mikutano ya hadhara kufanyika..

Ila cha kujiuliza...hv siku za hv karibuni hali ya usalama nchini ilikuwa tete mpaka hawa policcm wapige marufuku mikusanyiko??au mm labda siishi Tanzania hii...wakuu ebu nijuzeni...
 
Hivi CCM haitafanya mikutano ya hadhara kutambulisha sekretariati yake mpya na Viongozi wapya?

Je hakutakuwa na mkutano wa hadhara Dodoma kumtambulisha Mkiti mpya mpaka 2020?

Je hakutakuwa na mapokezi Dar ya kumpokea Mkiti mpya mpaka 2020?

MyTake

msimeno unakata pande mbili
Umeambiwa mambo hayo yatafanyika kwa kibali na hali ya usalama ikiwa shwari. Machadema uwezo wenu wa kutafsiri mambo ni mdogo sana.
 
Eti polisi wanasema wataruhusu mikutano ya hadhara baada ya hali ya usalama kutengamaa.

Swali la kujiuliza, Tanzania kwa sasa haina usalama ?
Mbona hatutangaziwi kuwa Tanzania iko katika hali ya hatari na ni hatari gani hiyo inayotazamiwa?
 
Wewe ni Mtanzania kweli? Kama hata hujui yanayoendelea humu.
 
Akili zenu sawa na za Ng'ombe.
Usiite watu ng'ombe kwani inaonekana ng'ombe anaweza kuwa na akili kuliko wewe. Watanzania sio wajinga kiasi unachofikiri. Umeulizwa uelezee mfano wa hali mbaya ya usalama polisi wanayotumia kuzuia mikutano lakini badala ya kujibu unatukana. YOU ARE GHOST RIDDEN!
 
Back
Top Bottom