Si nlisha nunua ss nkaichome moto au?Umelazimishwa kununua azam decoder
Ha ha haaaaaSi nlisha nunua ss nkaichome moto au?
Kama ni kweli sitaenda kupigwa baridi leo kibanda umizaAngalia ktn leo mkuu wataonyesha
Angalia ktn leo mkuu wataonyesha
DSTV MPANGO *MZIMA* CHEZEAAA MKABURUUU SIO MPEMBA YULEEKwanini usinunue dstv! Kwa sh 84 pekee utaona mpira wowote unaoutaka kwa raha nyumbani na familia! Jifunze kujipa raha bana
ha ha ha hawamjui T.I.D hao..blah blah mwanzo mwisho hamna kitu ni jipu!Tulikuwa tunavuta wateja
Wapo hewani??acha zako Leo zbc 2 wanaonyesha
ndioWapo hewani??
Kumbe safindio