Hotel ya kifahari kwa ajili ya mbwa yafunguliwa Japan

Noriega Jr

Senior Member
Apr 12, 2014
168
59
Huko Tokyo Japan, kumeanzishwa hotel ya kifahari yenye vyumba, vitanda na vito vya dhahabu kwa ajili ya mapumziko ya Mbwa.

Hotel hiyo ambayo inamilikiwa na Tajiri Okazaki nyamaota , ina chakula kizuri ikiwemo rost nyama, mabafu ya kuogea mbwa hao pamoja na sehemu ya kupata Masaji ya nguvu ili kulainisha mifupa ya midogi hiyo.

Hotel hiyo pia ina kanisa maalum la dhehebu ya Shinto ambapo Mbwa watakuwa wakipelekwa kufanya Ibada ili kuepukana kuwa na matendo maovu na kufundishwa matumizi ya uzazi wa mpango ili wasalie kuwa vipeti kwa muda mrefu.

Malipo kwa malazi ambapo mpaka sasa mbwa Zaidi ya 630 wametembelea ni dola 300 kwa usiku mmoja na mbwa akiwa na mwenza wake dola 350.

Kuna eneo maalum kwa mbwa wote wapweke, waliochwa na wapenzi wao, mbwa waliotengwa na wenzao kwa ufupi wao na wale waliofumaniwa.

13627061_1120918654654060_6514511824646526410_n.jpg
 
Labda anakuwa na majeraha ya kupigwa baada ya kufumaniwa....!lkn swali msingi inakuwaje mbwa wa gharama namna hiyo afumaniwe au wanaachwa wazurure km mbwa koko...?
Heheheh nimechekaje hapa nilipo ,acha tucheke maisha mafupi
 
Back
Top Bottom