Nahitaji Mashine ya Kutengenez Bisi (PopCorn Mashine)

Tarrus

Member
Jun 30, 2016
42
38
Habari wanajamvi,naomba msaada wa kupata mashine ya kutengenezea bisi iliyokwisha tumika (used PopCorn Mashine) kama itakuw mpya basi iwe kwa gharama nafuu,Shukrani.
 
Thanks kwa offer yako brothr ila bei yako iko juu sana that's why nkataka used nichekie kwa around 150k-250k
 
Ninayo yangu ina mwaka mmoja tokea ninunue na sasa hivi siitumii IPO tu home, nicheki nikupe 0625692641(WhatsApp) au 0759324322 call
 
Back
Top Bottom