Naombeni msaada. Nimefanya nimefanya factory reset kwenye simu bila kujua consequence zake. Kuna namba za phone book na few msg muhimu, ni namna gani naweza zipata?
Natanguliza shukrani zangu
Msaada tutani, nataka nijiunge na DSTV. Naomba mwenye info anisaidie kuwa itanigharimu kiasi gani kupta il kitu deck+dish na vinginevyo. Na kama kuna njia ya kupata unafuu.
Natanguliza shukrani
Wandugu,
Nimepewa task ya kuandaa zawadi kwa ajili ya wataalamu waliokuwa wanatushauri kwenye mradi wetu. Sasa nimestuck sijui niandae nini kama zawadi. Watu hawa ni watanzana wasomi...elimu yao ni level ya PhD.Tafadhali naomba mawazo niwaandalie zawadi gani?
Natanguliza shukrani
Wapendwa wana Jf,
Naombeni mpie tafu. Tumekuwa na advisers waituadvise kwenye projct yetu moja, sasa tumfikia mwisho wa project. Tunafikiria kuwapa zawadi hawa advisers. Kwa ushuri wenu mnaona tuwape nini? Level yao ya education ni PhD namostly ni watanzania. Pls naomba mawazo ni nini kinafaa...
Ha ha haaaa.....Kwa hiyo kusoma ndio kuacha mila zako? Mie nashauri wataalamu waje watufafanulie hapa maana ya mila na desturi. Maana uelewa wetu wengi ni mdogo. Maana mambo mengine ni mila za wazungu sie tunaiga na tunaona zao ni nzuri. Mila zipo, na zitaendelea kuwepo
Nakuelewa kaka. Point hapa ni mgongano wa kimaslahi. Mimi nafanya kazi kwenye NGOs, hizi ni NGOs ni kampuni zisizo za kibiashara, ila waliozifungua wanategemea kunufaka morally. Sasa wewe kama mwanao amesidiwa hujanufaika? maana mwanao humtumii kimaslahi ila umemzaa ili afikie lengo Fulani. So...
kwanza pole sana Mh Zitto. Dua zetu tunazielekeza kwenye afya ya mama yako. Mwenyenzi Mungu amponye haraka. Pili kwa bahati mbaya hili limejitokeza wakati unauguliwa. Ninachokiona hapa (kwa mizamo wangu), sio tuhuma kwamba umekula fedha. Kikubwa hapa ni mgongano wa maslahi (conflict of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.