What is the sweetest answer you ever heard from your kid?

What is the sweetest answer you ever heard from your kid?

Mi hata sina mtoto dah mungu atanijalia siku moja na mm ntachangia.najuta kufungua huu uzi nmejiskia vibaya sana.
 
Mi hata sina mtoto dah mungu atanijalia siku moja na mm ntachangia.najuta kufungua huu uzi nmejiskia vibaya sana.

Pole Jaslaws....same here. Kiimani watoto ni zawadi ya Mungu. So we can console ourselfs using kids around us
 
kuna kakid kalinishangaza siku moja
alikua anaangalia TV akaona Mtu kafyatuliwa risasi akasema huyo haogopi kufa?
she was only 4yrs nikamuuliza kwani kufa ni nini akanijibu si Mtu anafumba macho analala haamki tena anaenda mbinguni
..!!
 
Back
Top Bottom