Naomba msaada jinsi ya kujiunga na DSTV

Naomba msaada jinsi ya kujiunga na DSTV

kyumbo

Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
79
Reaction score
33
Msaada tutani, nataka nijiunge na DSTV. Naomba mwenye info anisaidie kuwa itanigharimu kiasi gani kupta il kitu deck+dish na vinginevyo. Na kama kuna njia ya kupata unafuu.

Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom