Nipeni tafu kimawazo

Nipeni tafu kimawazo

kyumbo

Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
79
Reaction score
33
Wapendwa wana Jf,
Naombeni mpie tafu. Tumekuwa na advisers waituadvise kwenye projct yetu moja, sasa tumfikia mwisho wa project. Tunafikiria kuwapa zawadi hawa advisers. Kwa ushuri wenu mnaona tuwape nini? Level yao ya education ni PhD namostly ni watanzania. Pls naomba mawazo ni nini kinafaa kuwa zawadi.
 
Wapewe konyagi kubwa kubwa kila mmoja wasomi wengi wa bongo ni wadwanzi
 
Back
Top Bottom