Mimi sijasoma hiyo taaluma ya ufugaji samaki lakini nafuga samaki kwa kuelekezwa na vijana waliosoma certificate ya acqureculture pale Mbegani, Bagamoyo. Nina mabwawa yangu kadhaa hapa kijijini na naweza kuwwajiri hata wasomi wa PhD kwa mapato yatokanayo na mradi huu. Sasa kama wewe utakuwa na...
Kwa nini upangiwe kazi au itafute kazi? Kozi nzuri kiasi hicho alafu unazingumzia habari za kupangiwa kazi au kutafuta kazi kweli? Kama umesoma PCM hapo ndo penyewe. Agr. sio lazima. then unaingia shambani, unalima na kumwagilia, unavuna na kupata fedha. Acha kuwaza white colar job
Hapana, usipotoshe grafani11. Msonde hakufundisha Dar es Salaam Teachers College bali alifundisha Dar es Salaam University College of Education baada ya kuhitimu Masters katika Education (MA Ed) UDSM. Ikumbukwe katika kozi ya B.Ed alifanya vizuri sana na kupata GPA zaidi ya 4.0 na kushika nafasi...
Ni kweli, Msonde ni jembe. Nimemfahamu tangu akiwa mwalimu wa shule ya msingi, sekondari, mkufunzi wa vyuo bya ualimu vya Songea na Morogoro (Kigurunyembe), Lecturer DUCE na hata baadae DES wa NECTA chini ya Dr. Joyce Ndalichako. Anafaa sana kwani ana uzoefu wa kutosha na kichwani yuko vizuri sana.
Akabidhiwe nchi huyo KADA tupate ahueni. Anazo sifa zote na ni mwadilifu. Pointi za kumponda Wassira wanazotumia wapinzani wake ni kwamba ANA SURA MBAYA KAMA NYANI na ni MZEE SANA. Hizo ni hoja za waliochoka kwa kuwa hatuna shida ya Rais wa kwenda kugombea umiss World au wa kwenda KUBEBA ZEGE...
Wewe utakuwa ni agent wa Apollo Hospital. Mimi nimetibiwa Max Super Speciality Hospital, ipo New Delhi ambako nilifanyiwa Spine Surgery na Dr. Bipin Walia. Nilienda kichwa kichwa tu baada ya kupata email ya Assistant Manager for International Patients na kuwasiliana naye. Diagnosis waliyofanya...
Wewe naye ni Kihiyo kweli, mleta uzi anazungumzia A-Level wewe unaleta habari za Mafunzo ya Ualimu ya Ualimu yanayoratibiwa na Mkurugenzi wa Mafunzo ya Ualimu (wala sio Mkurugenzi wa Elimu). Au nawe ndiyo walewale Div. 5 nini?
Wahandisi wa SUA nanyi mabomu. Enzi zetu UDSM pale FOE Wahandisi ndo tulikuwa tunaogopwa. Tukiamua mambo uanakuwa au ndo kusema Wahandisi wa Kilimo hamko smart?
Ni katika kijiji cha Yitwimila "A" , Kata ya Kiloleli, Wilaya ya Busega. Basi hilo limepeasuka tyre kisha likaacha njia na kugonga nyuma ya Marehemu Mwalimu Mbofu (aliyekuwa mwenyekiti wa CWT Wilaya ya Magu) na kupinduka. Ni ajali mbaya sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.