mtera1
Senior Member
- Aug 1, 2014
- 154
- 44
We mzanaki Kumbuka Wassira ni msizaki halafu alikuwa mwanafunzi wa Mwalimu Nyerere huyo ndiye wakupewa nchi.
umenena mkuu
We mzanaki Kumbuka Wassira ni msizaki halafu alikuwa mwanafunzi wa Mwalimu Nyerere huyo ndiye wakupewa nchi.
Siku zote nuru na giza hazichangamani, kwakuwa Wassira anafanya vizuri majukumu yake haitatokea mkamkubali hata siku siku moja, nyie watu wa hivyo sana.Yes. Ila ana sifa ya ziada. Wakati mafisadi wenzie wanaona hata aibu kujieleza, yeye mshipa wa aibu umekatika na anajiongelea tu kama "hamnazo" flani
Yes. Ila ana sifa ya ziada. Wakati mafisadi wenzie wanaona hata aibu kujieleza, yeye mshipa wa aibu umekatika na anajiongelea tu kama "hamnazo" flani
Katika mambo ya kushangaza ccm imekuwa ikimtumia sana Mh Wassira katika mijadala mbalimbali na kuthibitisha chati yake IPO juu agliongoza kwa kura aliposhinda ujumbe was halmashauri kuu ccm taifa na amekuwa akitajwa ktk wanaokitamani kiti cha enzi lakini with wanasahau huyu jamaa alishapatikana na hatia ya rushwa na kuvuliwa ubunge was bunda alipokuwa nccr mageuzi
Utasema mengi lakini Wassira atabaki kuwa Innocent, upepo wake unavuma vizuri na watanzania wanamuelewa, ukimchafua anazidi kusifika, ukimtukana anazidi kujulikana,
Tyson ni sawa na gogo la udi ukilichoma Ndio linazidi kunukia.
Orodhesha Ufisadi wake tuujue.
Wassira anawapasua vichwa kila kukicha, na mwakani mtapoteana atakapokuwa anapeperusha Bendera ya CCM.
Hakuna! Kwa sababu hata kama kuna ambao hawajafanya uchafu, bado ile kuwa tu wanasapoti huo uchafu, au wanaushabikia au wameshindwa tu kuukemea hiyo kisheria ni kushiriki matendo machafu.
Ndani ya CCM "YES" upepo unavuma ...nje ya CCM bug "NO" .... Wingi wa kura za wajumbe wa CCM zilitokana na ile kauli yake kuwa anayo dawa ya CHADEMA! ... Mikakati yake ya kukituhumu CDM kwa Ugaidi zimefeli, Mikakati yake ya kuwahonga Viongozi wa CDM nazo zimeendelea kufeli baada ya Wasaliti kujulikana, Mikakati yao ya kuanzisha ACT kwa lengo la kuihujumu CDM nayo inazidi kushindwa... huyo Innocent ya kutetea wizi wa 400 Billion (IPTL) pale BOT na kuzitumia kununua viongozi wa CDM kwako sawa? Kuondoa TUNU za taifa kwenye katiba ili kuhalalisha UFISADI wewe unaona ni sawa? fikiria zaidi Mkuu, usiangalie mkate wa leo leo...
wassira hana sifa za ugombea alisha onesha utovu wa nidhamu tangu enzi za nyerere hadi akafukuzwa kwenye chama akakimblilia nccr nashangaa kuona ccm wanataka kumtakasa wakati kesha kuwa mavi tayari na hatakasiki.
Siku zote nuru na giza hazichangamani, kwakuwa Wassira anafanya vizuri majukumu yake haitatokea mkamkubali hata siku siku moja, nyie watu wa hivyo sana.
Note: Wassira will be the next president.
Wapo ila ni Marehemu!...
Naombeni mnitajie mtu msafi kuliko wote CCM
Mbona unaweweseka sana ukianza kuwaza jina la Wassira? Tulia kijana huyo ndiye Rais wetu 2015, Tuhuma za rushwa ilikuwa giriba za Warioba na influence yake ya ujudge, lakini Wassira ameendelea kuwa chuma cha Pua.
Skendo ya Tairi? Ama kweli Wasira hana doa!Ufisadi alianza zamani huyu mzee, alipokuwa katibu wa CCM Geita aliwahi kuiba Tairi ya Land Rover! alijitetea kuwa alikuwa anatafuta fedha za kampeni! Mzee Budodi et al walimpotezea... CCM ya sasa wanamg'ang'ania kwakuwa anaendesha harakati nyingi akishirikiana na Nchemba, Igondou, Zitto, Kitila, Mwigamba et al kuihujumu CHADEMA... beyond façade he is a liar, adultery and murderer just like many of them...
Naombeni mnitajie mtu msafi kuliko wote CCM
Lusinde....
Mbona unaweweseka sana ukianza kuwaza jina la Wassira? Tulia kijana huyo ndiye Rais wetu 2015, Tuhuma za rushwa ilikuwa giriba za Warioba na influence yake ya ujudge, lakini Wassira ameendelea kuwa chuma cha Pua.
Mbona unaweweseka sana ukianza kuwaza jina la Wassira? Tulia kijana huyo ndiye Rais wetu 2015, Tuhuma za rushwa ilikuwa giriba za Warioba na influence yake ya ujudge, lakini Wassira ameendelea kuwa chuma cha Pua.