Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,897
- 14,447
Ametukatisha utamu.Kuna yule mangi aliyekuwa anaidesign naona siku hizi ana vipindi vya watoto vinavodhaminiwa na c.r.d.b. .......'' hisabati ni maumbo ya urefu na upana''.............................hebu esabu madoa yangu kenye ngozi ......umepata mangapi....? unapokula ugali unahesabu matonge......,