Kweli tumelikoroga WAHANDISI-SUA (SUA-COE)

Canop

Senior Member
Jan 8, 2014
175
0
Hatujui cha kufanya...ni baada ya kutaka kugomo kuingia madarasani kwa sababu ya ukosefu wa bumu, tumeshindwa kufikia hatima yetu ya kugoma baada ya kutishiwa na mkuu wetu wa idara pamoja na waalimu eti itatugharimu kama tukigoma....pia kutokuwa na umoja baina yetu pia kumefelish jitihada zetu za kufikia malengo. Baadhi yetu wameingia madarasani na wengine kutokuja ktk kikao kilichoitishwa na mwenyekiti wa jumuiya ya Wahandisi wa SUA. Kiukweli hali ni mbaya zaidi ya maelezo....imefikia hadi mabinti kujiuza (Wahandisi-mabinti wameyasema haya leo ktk kikao kuwa wenzao wanajiuza) inasikitisha sana hali ilipofikia kwa sasa, mikate ndio mkombozi wa wengi hapa SUA (NEW HOSTEL), wauza mahindi ya kuchomwa pia wanafurahi kwani soko lake lipo juu sana ka sasa.
Wahandisi tusikate tamaa tusonge mbele na msimamo wetu wakuto ingia madarasani hadi kieleweke.....! big up kwa mwaka wa tatu kwani wameonekana ndio chachu ya mgomo.
 
kyolumuli

Member
Nov 27, 2013
56
0
Eng hamkujipanga kaeni chini mjipange upya coz swala la bumu ni lawanasua wote

Wahandisi wa SUA nanyi mabomu. Enzi zetu UDSM pale FOE Wahandisi ndo tulikuwa tunaogopwa. Tukiamua mambo uanakuwa au ndo kusema Wahandisi wa Kilimo hamko smart?
 
Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,534
2,000
Hatujui cha kufanya...ni baada ya kutaka kugomo kuingia madarasani kwa sababu ya ukosefu wa bumu, tumeshindwa kufikia hatima yetu ya kugoma baada ya kutishiwa na mkuu wetu wa idara pamoja na waalimu eti itatugharimu kama tukigoma....pia kutokuwa na umoja baina yetu pia kumefelish jitihada zetu za kufikia malengo. Baadhi yetu wameingia madarasani na wengine kutokuja ktk kikao kilichoitishwa na mwenyekiti wa jumuiya ya Wahandisi wa SUA. Kiukweli hali ni mbaya zaidi ya maelezo....imefikia hadi mabinti kujiuza (Wahandisi-mabinti wameyasema haya leo ktk kikao kuwa wenzao wanajiuza) inasikitisha sana hali ilipofikia kwa sasa, mikate ndio mkombozi wa wengi hapa SUA (NEW HOSTEL), wauza mahindi ya kuchomwa pia wanafurahi kwani soko lake lipo juu sana ka sasa.
Wahandisi tusikate tamaa tusonge mbele na msimamo wetu wakuto ingia madarasani hadi kieleweke.....! big up kwa mwaka wa tatu kwani wameonekana ndio chachu ya mgomo.

Mxxxxx yaani anayenunua k za SUA kweli kaishiwa..k zina smell dawa ya dumuzi nani nazitaka hizo..mxxxxx
 
Wustenfuchs

JF-Expert Member
Dec 31, 2012
299
250
Hv SUA ni chuo cha mainjinia peke yao? Hao wengine hili bumu haliwahusu au ndo uoga na kushindwa kutetea haki zao?. Siku zote kidole kimoja hakivunji chawa, hili ni suala la wanachuo wote, watu inatakiwa kuwajibika katika juhudi hizi. Taratibu sahihi zifuatwe na hatua zichukuliwe.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom