Theodore Bagwell
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 940
- 226
Aisee na waliofariki wengi wao watakuwa walikuwa wanatoka kwenye likizo ndogo ya EASTER
simiyu ilimega baadhi ya sehemu za magu ndo maana wengine bado wanayaita maeneo hayo kuwa ni ya magu.mazoea tu.
kuna mabasi ya ZAKARIA huku mwanza sirari huo mwendo wake ni zaidi ya hatari na matrafiki wapo tu barabarani wanacheka nao
Kamanda Mpinga apeleke tochi wiki hii hii. Lakini wakati mwingine wananchi hao wanakuwa sehemu ya matatizo. Ukithubutu kumkemea dereva kwa mwendo kasi usiofaa, abiria watakugeuka na kukushurutisha ushuke katika basi. Matokeo yake basi likishapinduka na kuua, ndipo utasikia, ooh dereva alikuwa akiendesha kasi! Tanzanians, wake up!! Poleni sana ndugu zetu mliofikwa na dhahama hii.
Watu wapatao 20 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa vibaya sana baada ya basi la Nyehunge (au Luhuye) kutoka Musoma kwenda mwanza kuacha njia na kugonga nyumba kisha kupinduka katika kijiji cha itimila/Itumila A wilayani Busega mkoani simiyu
Chanzo: ITV breaking news
Nipo ktk eneo la tukio, kiukweli hali ni mbaya sana watu waliofariki mpk sasa ni zaidi ya 40. Kuna maiti imeng'ang'ania chini ya tairi hata break down wilaya nzima hakuna! JAMANI AJALI NI MBAYA SANA KULIKO TUNAVYOFIKIRIA.
pole sana wahanga wa tukio, na marehemu wapumzike kwa amani
Barabara yote kuanzia sirari hadi mwanza hakuna tochi ya polisi. Magari, hasa mabasi yanaendeshwa kwa fujo sana. Kamanda mpinga aweke tochi pengine madereva wataogopa.
Kwani hujui kama ni kada wetu na yuko juu ya sheria?
Hiyo mizimu ya ccm haijashiba damu?? Yote hayo ni ili katiba ipitishwe tu wazidi kukaa madarakani mwanzo mwisho. Loh! Tambiko hizi zitawamaliza watz. Huko madreva hawana leseni mpya?? Ukiwa nayo tu hakuna ajali
Story ya Speed governor vipi? nipeni tender niwaletee original ajali zitakuwa historia!! Serikali sikivu ..........!!
...verybad news, but poleni sana aiseeNipo ktk eneo la tukio, kiukweli hali ni mbaya sana watu waliofariki mpk sasa ni zaidi ya 40. Kuna maiti imeng'ang'ania chini ya tairi hata break down wilaya nzima hakuna! JAMANI AJALI NI MBAYA SANA KULIKO TUNAVYOFIKIRIA.