Recent content by kyengah

  1. kyengah

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank na kinachoendelea?

    Crdb kwangu wapo vzur pamoja na changamoto walizonazo
  2. kyengah

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi lakamata watuhumiwa 711 kwenye operesheni kubwa ndani ya siku 5 Dar

    Mmmmmmh 711?mbn weng Sana, anyway ni watuhumiwa tu bado hawajawa wahalifu
  3. kyengah

    JamiiForums Tanzania Ubabaishaji na Utapeli benki ya CRDB

    Hilo ni suala la utumish, wao ndio watapeleka data za ww kukatwa, do ishu itakuwa crdb walisitisha mkopo wakat tayar afsa utumish kapeleka data hazina. Pesa yke atapewa na atamaliza mapema maana keshaanza marejesho
  4. kyengah

    JamiiForums Tanzania Inaonekana hata majambazi na wakianzisha jumuia yao dunia itawatetea

    Suala la ndoa ya jinsia moja tayar ni bomu lililolipuka. Watu wanaangamia
  5. kyengah

    JamiiForums Tanzania Uzalishaji wa Land Rover - Defender wasitishwa rasmi kuhitimisha historia ya miaka 67

    Nasikia tatzo ni kuwa ilikuwa inachafua Sana mazngra, kwa hiyo kuna model bado zitaendelea kuwepo za land Rover
  6. kyengah

    JamiiForums Tanzania AJALI: Mkoani Mwanza watu 5 wafariki Dunia

    Nahis waliweka wakayatumia then wakasepa, intelijensia ya polis ipo wap?
  7. kyengah

    JamiiForums Tanzania Utaratibu na gharama za kupima vinasaba (DNA) Tanzania

    Ishu ya DNA ni zaid ya pesa, ndo mana ukiambiwa mke wako kafumaniwa inasound kuliko kusikia hasara ya biashara. Kisaikolojia utaathirika Sana kama ukikuta mambo si Sawa, na bahat mbaya daktar anaweza sema mtt wako ili kukuridhisha hata kama kipimo kimekataa lengo kuzuia mifarakano ya familia...
  8. kyengah

    JamiiForums Tanzania Walimu wenye vyeti feki watakiwa kujisalimisha kwa hiari kabla ya shuruti

    Hapo afsa elim ametumia njia ya kusema wanafahamika ili wajitokeze. Siamin kama anawajua amawaajir vp watu wasio na sifa?
  9. kyengah

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hatari kulipishwa zaidi kwenye mkopo CRDB

    Hapo nadhan kosa sio la bank ila mwajiri wake, awasiliane na maafsa utumish wanajua kila kitu.
  10. kyengah

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mme Mtu Mzima

    Duh kama mapenz safar, mm Sina nauli
  11. kyengah

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nipo tunduru, natafta mwalimu wa kubadilishana naye toka njombe mji au wilaya. Idara ya sekondari. 0684033233
  12. kyengah

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi siku hizi hupenda sana kubeba mafuta ya mgando mifukoni?

    Mafuta ya mgando yameandaliwa kwa ajil ya matumiz ya nje ya mwil, so ukitumia ndan ya mwil lazima udhurike
  13. kyengah

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi siku hizi hupenda sana kubeba mafuta ya mgando mifukoni?

    Hahahaha duh, lakin mafuta haya sio mazur kuyatumia kama wanavyofanya
Back
Top Bottom