Natafuta Mme Mtu Mzima

Natafuta Mme Mtu Mzima

Kwa hiyo wengine wamekufa... wazima ni hao tu... Yoyote anayepumua ni mzima...
 
Uwe tayar kupenda na kupendwa hasa, Yale mapenzi matamu na mazito unayohisi unayakosa mimi nitakupatia, ila tu usiwe mtu wa dogodogo yaan Penda Penda watoto, uwe na kazi au nafasi nzuri ili vilevile uweze kunitunza tufaidi penzi,.
Siku hz wanaume wanataka kuyunzwa
 
Naona unatafuta mtu wa kukufia ktk kisim wee

vijana tumetulia wee unatangatanga na wazee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom