MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,591
Katika ulimwengu wa Wanaomuamini Mungu na Makatazo yake, Dawa ya Dhambi ni kukemewa na kuachwa(Tubu) hakuna option ya kuivumilia. Ni 1988 taasisi ya wapenzi wa (jinsia moja ilianziswa japo inaonekana vuguvugu lilianza zamani ) USA lakini spidi ya hii taasisi inavunja hadi milango ya Nyumba za sala na kukubalika au kutetewa na makanisa,makampuni,taasisi, mataifa etc. Hakuna Taasisi Duniani inayosaidia kupunguza vuguvugu hili zaidi dunia nzima inasalimu amri taratibu ila kwa uhakika.
Ni majuzi tu kijana mmoja wa Nigeria alifungiwa Account yake ya Facebook kwa kosa la kuukosoa ushoga na kutoa Hisia zake juu ya huu mwelekeo wa maisha(Ikumbukwe mwanzilishi mmoja wa mtandao huu ni mwanandoa wa jinsia moja).
Najiuliza, Hivi ni rahisi kuhalalisha uovu kwa kutengeneza Jumuia/Taasisi. Mfano kumbe hata majambazi/wakifanikiwa kutengeneza jumuia yao na wakawa na msemaji wao duniani hata makanisa/mataifa/jamii yatahalalisha au yatasema wavumiliwe.
najaribu kutafakari...