CRDB Bank na kinachoendelea?

CRDB Bank na kinachoendelea?

Naipenda CRDB,isipokuwa kuna siku nilifanya malipo kwa njia hii sijui mnaita TT,nilijuta masaa arobaini pesa haijahama,mhindi kagoma kunipa mzigo,nawafuata pale Lumumba, wananiambia na wao hawaelewi,duuh! Hapo natakiwa niwahi kurudi mkoa,Ratiba yangu yote ilivurugika,kwa hasira nika cancel transaction, nikachukulia ndani, nikasema potelea mbali wazee wa boxer wakinipa chai, 'usijaribu kufanya malipo kutoka crdb kwenda banks zingine kama una haraka.
When was that?
Its probably before Feb this year..Na unaposema usifanye TT na CRDB kama una haraka unakosea..Mara nyingine inawezekana Branch husika walichemka wao and that is nothing we can conclude as CRDBs(in whole)problem..

Probably u havent heared about the new TACH system..stay updated!
 
Hao kawaida yao,
Kila ikifika saa 12:30 jioni ,lazima network ikate.
Hiyo ina daily routine
Huo ni utaratibu wala sikufichi.Kuna a minor daily ATM System maintenance muda huo which lasts for only 20mins,so that is to say,try to use your 24 hours effectively while keeping that in mind.So far,wit your TEMBOCARD(VISA/MASTERCARD) still you can be serviced on other ATM Clients za benki nyingine
 
we jamaa msemaji wa bank nn
kuna mzee hapa ametembelewa n.a. wakwe amewapiga kitimoto na. bia af yupo hapa tigo pesa anahaha sim banking inazingua....
 
When was that?
Its probably before Feb this year..Na unaposema usifanye TT na CRDB kama una haraka unakosea..Mara nyingine inawezekana Branch husika walichemka wao and that is nothing we can conclude as CRDBs(in whole)problem..

Probably u havent heared about the new TACH system..stay updated!
Ilikuwa mwezi wa tano Mkuu,huenda pale Lumumba hawakuwa vizuri, ila ilinisababishia usumbufu sana.
 
Ilikuwa mwezi wa tano Mkuu,huenda pale Lumumba hawakuwa vizuri, ila ilinisababishia usumbufu sana.
Pole sana mkuu,delays za hivo zinaweza tokana na personal errors either za mteja au staff aliekuhudumia.
Maana hizi TT zina cut-off time,kama ulienda muda mbovu inakuwa ngumu na as usual wikend pia TT hazipiti..
 
Poa Mkuu, ila sihami bank
 
Tell us on the other hand which bank has been perfoming this consistently and perfectly?
Statement ya mwezi wa Jan,Feb,April zote nnazo..
Cry cry babies
Hata kama unafanya kazi katika hii benki mnatakiwa kukubali of recent mmekuwa wachovu,, nimeona hapo juu umekiri labda upgrades mlizofanya hivi karibuni za system zinaweza zakachangia kwa network yenu kuwa mbaya. Nakubaliana na wewe ila sijaona sehemu yoyote afsa uhusiano au wahusika wakuu wakitujulisha sisi wateja. Ndio maana tunalalamika na tuna hiyo haki ya kudai maelezo hata ikiwezekana kuhama kabisa
 
Huo ni utaratibu wala sikufichi.Kuna a minor daily ATM System maintenance muda huo which lasts for only 20mins,so that is to say,try to use your 24 hours effectively while keeping that in mind.So far,wit your TEMBOCARD(VISA/MASTERCARD) still you can be serviced on other ATM Clients za benki nyingine
Bhac sawa,ila huko benki nyingine ukitumia atm card ya crdb hawakati bali wanafanya kufyeka,
Nilitumia siku moaja,tsh.10000 chapchap ikApotea kizani
 
Bhac sawa,ila huko benki nyingine ukitumia atm card ya crdb hawakati bali wanafanya kufyeka,
Nilitumia siku moaja,tsh.10000 chapchap ikApotea kizani
Hawanaga service charges ya namna hiyo, iyo 10000 yako labda uliiangusha.
 
Sitasahau walichonifanyia hao crdb kwenye tu-hela twangu twa mboga... Nimeshahama kwa sasa niko na mafukara wenzangu NMB
Hao walinipotezea kadi yangu ya bank pale water front kila nikifuatia mara kadi ilitoka kwenye mashine itakuwa imechukuliwa na mtu mara omba kadi mpya nilipoomba kadi mpya ndio narudishiwa ya zamani.
Siku zote kama huduma ikipotea tupate maelezo, waige Tanesco...Lakini ikizidi inabidi tujiulize
 
Bhac fanya hv,chukua tembocard yako ya crdb halafu nenda atm ya NBC ,ukitoka hapo uje ulete majibu.

Issue ni kwamba ikianza kukorofisha hamna cha master card wala visa kufanya kazi. Zote zinakuwa hazifanyi kazi..ukienda kwenye ATM nyingine unapata error msg ya failure to connect to your bank..
 
Uko CRDB nilikimbia mda mrefu sana baada ya kufanyiwa matukio kadhaa, siku hizi niko standard chartered hawa jamaa wako digital balaa, account na fedha zako unaweza kuzinyambua utakavyo kwa ku log in tu kwenye website yao, yale mambo ya kuuliza salio unakatwa au ooh sina cheque book naipataje, e-statement imekuaje ni habari za kushangaza uku, ila poleni kwa yote.
 
Kimei amejaza ndugu zake wachagga unategemea nini kazi yao ni wizi tu na ss ivi wanafungua matawi wanayaita microfinance muda si mrefu watayafunga tu
Charles Kimei. GD~~~Mchaga
Dorah Ngaliga. DHR~~Mchaga
Nkini .Direector of strategy~~~Mchaga
...........General Manager Microfinance~~~Mchaga

Yaani 87% ya wafanya kazi ni wachaga
 
Unapohitaji sim banking halafu unaambiwa hauna salio na wewe unajua kabisa kuna vijisent vyako hapo ndiyo huwa natosha kabisa
 
Yaani wikiend kukosa hela kwenye Atm za crdb hasa wikend ni kitu cha kawaida tuu A-town
 
Unapohitaji sim banking halafu unaambiwa hauna salio na wewe unajua kabisa kuna vijisent vyako hapo ndiyo huwa natosha kabisa
Sijakuelewa unachomaanisha.Garbage In Garbage Out..If you can't feed your bank account with some moolah,who do expect to do it for u?
Weka hela acha kulia lia
 
Back
Top Bottom