Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,410
Habari wanaJF,
Jijini Mwanza basi la Super Sami limepata ajali iliyotekea huko Mwanza majeruhi ni 15 na waliofariki ni watano wanawake wawili na wanaume watatu na chanzo ni busi kugonga mawe yaliyowekwa na majambazi karibu na daraja hivyo ndipo ilipelekea kupata ajali na kusababisha hayo maafa ya watu watano kupoteza maisha na majeruhi kumi na tano
Hii ndio taarifa kamili toka kwa RTO Mwanza