Recent content by Kyemba

  1. K

    Inakera kuona msanii mmoja tu ndo anapaparukiwa na makampuni

    Watu bwana utamlinganishaje Kiba na Diamond kwa mfano? kwa lipi hasa.Siyo shabiki wa mwanamziki yeyote na sipendi mziki kivile lakini when it comes kwa huyu dogo ni habari nyingine.Kijana anajituma sana.Najaribu kufikiri watu tumesota kwenye shule hadi Phd tunazo lakini huwezi pata confidence ya...
  2. K

    ukweli kuhusu hii kampuni ya kuuza magari ya japan TRADE CAR VIEW

    Usihangaike kuagiza mbali mi nna mchuma upo bomba Isuzu Wizard mwaka 2000 imetembea km 140,000 silver colour nzuri tu.Nimeishaitumia tangu 2010,naiuza si kwamba ina tatizo ila nataka kubadili gari. Kwa yeyote anayehitaji tuwasiliane kupitia namba 0784-733529 nipo DAR
  3. K

    Tatizo la goti kutokunja

    Wanajanvi naomba anayefahamu dawa au daktari au hospitali yoyote inayoweza kunisaidia anishauri.Nilifanyiwa upasuaji mwaka 2011 wa goti kwenye mfupa(patela) wa mbele pembeni.Tangu hapo goti langu limekuwa stiff gumu sana kukunja sikuwekewa chuma wala kitu chochote dr alinifanyia upasuaji kwakuwa...
  4. K

    Nina tatizo la deep vein thrombosis(dvt)

    Nashukuru sana wana jamii kwa ushauri nitajitahidi kuufuata.Je anticoagulants naweza ziacha ?
  5. K

    Nina tatizo la deep vein thrombosis(dvt)

    Ni mwaka mzima sasa naumwa mguu, unavimba hasa nikikaa muda mrefu kama ofisini hivi,nikilala unakuwa kawaida.Madaktari wanasema damu inaganda kwenye mishipa natakiwa kutumia anticoagulants maisha yangu yote na siruhusiwi kubeba mimba. ISSUE. Sijabahatika kupata mtoto hata mmoja na nipo kwenye...
  6. K

    Binti afia gesti,Kinondoni!!!

    Ndugu (nje ya mada) nikiona huyo mtoto hapo juu nacheka mpaka nataka kuzimia
  7. K

    Maandamano ya CHADEMA Jijini Mwanza

    Jamani mimi napenda sana CDM nawashauri watuhamasishe wananchi wote tuone umuhimu wa mabadiliko maana wengi wetu bado tupo kwenye usingizi mzito.Mambo yanayoendelea ktk serikali hii yanakatisha tamaa na yametuchosha hebu jitahidi kuorganize kila upande nguvu ya umma ieleweke tuamke.
  8. K

    Ripoti ya Richmond kutojadiliwa

    Tumeshachoka na hiyo Richmond, jana TBC naibu katibu wa bunge alisema haitajadiliwa kwakuwa mjadala wa Richmond hauna tija kwa watanzania akasisitiza vikao vya bunge vitamalizika jumamosi, vipi tena Shelukindo anasema litajadiliwa? nani zaidi hapo. Hapa nimeamini mafisadi wana nguvu za ajabu...
  9. K

    Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

    Natabase agaya kyajunda kitateilwe njura lelo olwo yakilagalira empisi ekanyampira eibale eti norwo otagamba chonka wakaulira kabitumbe akafa atashweile olemwe agalashana na agashenjuza empute(abahutaile)(majeruhi)
  10. K

    TAKUKURU: Pinda jiuzulu na Hosea akufuatie!

    Tatizo TAKUKURU wamekuwa wakideal na mambo madogo madogo sana na kuacha makubwa na wakubwa watenda maovu wakipeta.Najiuliza hivi wanaogopa au hawana watu makini wa kufanya uchunguzi? kuna kesi nyingi zimeshafikishwa mahakamani kuhusu rushwa zikipelekwa na TAKUKURU lakini huwa hawashindi ni...
  11. K

    Inapotokezea mke au mpenzi wako kukwambia anavyonifanyia fulani hujawahi kunifanyia.

    wanaume wanastahili kuambiwa hivyo kwakuwa wao wakishakuwa na hamu hawafikirii kama na wenzao huwa wanahitaji kufurahia tendo.Analazimisha kufanya kwakuwa maumbile yamama yanaruhusu penetration lkn akina mama waliowengi hawafurahii tendo kwakuwa wanaume hawawapi nafasi ya kueleza feelings zao...
  12. K

    KUMEKUCHA, Mramba amtaja Mkapa!

    Jamani mramba nasikia atagombea ubunge tena na campain za chinichini zimeanza rombo,mh! Hawachoki na kuridhika?
Back
Top Bottom