Tatizo la goti kutokunja

Kyemba

Member
Jun 12, 2009
12
12
Wanajanvi naomba anayefahamu dawa au daktari au hospitali yoyote inayoweza kunisaidia anishauri.Nilifanyiwa upasuaji mwaka 2011 wa goti kwenye mfupa(patela) wa mbele pembeni.Tangu hapo goti langu limekuwa stiff gumu sana kukunja sikuwekewa chuma wala kitu chochote dr alinifanyia upasuaji kwakuwa aligungua kuna maji yenye infection.
Nimeattend physiotheraphy Muhimbili zaidi ya mwaka bado goti halikunji, nashindwa kutembea vizuri navuta mguu na sipo comfortable maana nikifanya zoezi sana naumwa, usiku pia nasikia maumivu kwenye goti.
Naomba msaada wenu ili anglau niweze kukunja goti.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom