Inapotokezea mke au mpenzi wako kukwambia anavyonifanyia fulani hujawahi kunifanyia.

Jamani nimecheeeeeeka ..hivi kweli utataka ujue huwa anafanyiwaje kama anapewa kisamvu cha kopo na wewe utaamua kumfanyia mkeo ili asiend huko anakoenda

Kama anaona kule ndo kuko sawa basi talaka inamfaa ili aende huko apewe hicho anachokipata

siko huko muendako na wala siko kulikokusudiwa jamani mutambuwe maana ya riwaya za kiswahili
 
Babylon hapo wala usiulize kitu tafuta mwingine nae mruhusu aende huko anapofanyiwa ayapendayo inaitwa 'cutting your losses'.
 
Jamani nimecheeeeeeka ..hivi kweli utataka ujue huwa anafanyiwaje kama anapewa kisamvu cha kopo na wewe utaamua kumfanyia mkeo ili asiend huko anakoenda

Kama anaona kule ndo kuko sawa basi talaka inamfaa ili aende huko apewe hicho anachokipata

LOL! First lady1 yaani! umenichekesha sana!...Kisamvu cha kopo siyo eh!? ;) Ha ha ha ha ha Thank you. Nadhani hicho kisamvu cha kopo kitakuwa kitamu sana mpaka kinampagawisha mama asiijali tena ndoa yake.

Have a great weekend :)
 
Mkuu huo ulikuwa ni mfano tu wa kukisi vidole,kuna mengi wasichana wetu huyatamani lakini huogopa kutuliza kwa kuhofia tutakasirika na kuwa karipia moja wapo likiwamo scoope diving .

Ni bora wajinyamazie tu maana wakisema, "Naomba unifanyie hivi" basi ugomvi. Nani kakufundisha mambo haya, tumeshaishi miaka chungu nzima hujawahi kuniambia kitu kama hiki. Utaniambia huyo mwanaume wako anayekufanyia hili ni nani si ajabu na kipigo juu.Bora wauchune tu kuliko kuleta shari ndani ya nyumba.
 
Lol ..kama hali yenyewe ndiyo ipo hivyo, basi wanawake wengi wataendelea KUFA kama vile Muwa(Genderi) na Utamu wake.
 
Huu ni uvunjifu wa maadili, na ni ulimbukeni wa kipumbavu sana ambao watu na akili zao wanaiga bila bila kuchuja na kujua madhara yake.

Pornography imekuharibuni sana ndugu zanguni.
Tumeingia kwenye hii teknoloji ya mitandao bila kujiandaa.

I hate every one who mentions the right words in opposite meanings.

Tigo itaendelea kuwa Tigo, na ni mtandao bomba.

Mshindiliwe na mlegee!!

Umelaani nini na umesema nini!! nani ashidhiliwe, na ashindiliwe nini?

Kuchamba kwingi......
 
Ee bwana wewe sikiliza kama mtu ameweza kutoka nje ya ndoa huyo achana naye huo ujasiri wa kuweza kuwa na uhusiano na mtu mwingine hakuanza kwako ni kwamba kazoa huyo hata ubalishe simu mara utoke voda kwenda tigo haisaidii huyo ni mtu hovyo tu why ushee tunda lako bwana tena waziwazi! mi sina ushauri mwingine piga chini nyanyua bendera nyingine kwa heri
 
Ukiona hivyo ujue ameshakuchoka alikuwa anatafuta sababu......utakesha hutaridhika..
Piga chini anza moja...upya tena bila papara..
 
Ni bora wajinyamazie tu maana wakisema, "Naomba unifanyie hivi" basi ugomvi. Nani kakufundisha mambo haya, tumeshaishi miaka chungu nzima hujawahi kuniambia kitu kama hiki. Utaniambia huyo mwanaume wako anayekufanyia hili ni nani si ajabu na kipigo juu.Bora wauchune tu kuliko kuleta shari ndani ya nyumba.

kwa maana hiyo Mkuu unataka kuniambia kwamba kina Dada na kina mama kama wataomba mara tu wanapokutana na wapenzi wao kuna uwezekano wa kufanyiwa?
 
hayo ndio mapenzi ya dada zetu at the end of the day atataka kurudi kwako tena
 
Mazee hapo ni heartbreaking, hasa kama mwanaume unjisikia uko defeated and not good enough, lakini kama mwenzako anamegwa nje, lazima utahisi japo kwa mbali even before yeye kufikia hatua ya ku-disclose huyo wa nje.

Mie kwenye hilo nitajaribu kujua jamaa anavyofanya na nitatumia njia ya kuwa a better man with good time ili atoe siri zake [lakini moyoni ntakuwa tayari najiandaa kuachia mchuma], then ntajaribu kila hali nifikie ubora wa jamaa.

Siku atakapokubali nimefikia, then natosa mzigo kwani ile active search itakuwa inaendelea, hapa lengo langu ni kuonyesha kwamba ubora wa haya mambo hutokana na wote wawili ku-share hisia kila wakati na pia kumuonyesha machungu ya betrayals

Lazma ntamtosa, lakini itakuwa baada ya kuongeza mapenzi na kumuharibia huko nje

kwa mtazamo wangu usikimbilie kumtosa, jaribu kutafuta sababu ya yote hayo, inawezekana kabisa ukimgusa anapohitaji basi mambo yakawa shwari tena akakupenda na hata kusahau wapenzi wengine wote, kwa ujumla kwenye relationship uki count kila kinachotokea hautadumu na mpenzi , mambo kama hayo huwa ni kawaida kwa wengi HAKUNA ALIYE MSAFI katika game hii ya mapenzi! yaelekea huyo mpenzi anampenda jamaa, ila anachokitafuta nje ni aina fulani tu ya utundu ambao anaukosa kwa jamaa, sasa ukijua ni nin si umtekelezee tu ili muendeleze penzi lenu, mie huwa naita STUDY TOUR, unaenda tour ya kujifunza mambo mapya then unayaleta kitandani kwa mpenzio mambo yanaendelea (ingawa wengine wakiona jambo jipya wanakuja juu eti umejifunza wapi zamani hukuwa hivi)
 
wanaume wanastahili kuambiwa hivyo kwakuwa wao wakishakuwa na hamu hawafikirii kama na wenzao huwa wanahitaji kufurahia tendo.Analazimisha kufanya kwakuwa maumbile yamama yanaruhusu penetration lkn akina mama waliowengi hawafurahii tendo kwakuwa wanaume hawawapi nafasi ya kueleza feelings zao badala yake wanawalazimisha kufanya tendo tu.Akina baba/kaka jirekebisheni,wape nafasi upande wa pili nao wafurahie.
 
jalia unamuhudumia kila anachokitaka kutoka a to z ikatokea siku moja ukagunduwa kuna mtu anachovya asali uitunzayo ,katika kukabiliana nae mpenzi wako ili ujuwe ni kitu gani kilichomfanya achukuwe hatuwa ya kufanya kitendo hicho? Katika majibizano yenu akatowa kauli na kusema mambo anayonifanyia yule jamaa wewe hujawahi kunifanyia,jee utakuwa tayari uyajuwe hayo majambo ili uweze kumfanyia na kutunza penzi lenu?

huyo mpenzi atakuwa mpumbavu ... Hakuwa na sababu ya kutoka nje ni bora angemweleza mpenziwe nini anataka afanyiwe asikie raha....
 
Jamani sio kila mwanamke unaweza kumtimizia matakwa yake ,hivi wengi wenu hapa mmesha wahi kukutana na wanawake wenye kunuka kupuu kuliko hata lile la Beberu la mbuzi ?
 
Anayo haki ya kukwambia kama humridhishi, sema tu kafanya kosa kuanza mahusiano na kutoa sababu hiyo. alitakiwa kukwambia wapi una mapungufu na mtafute namna ya kuyapunguza kwa pamoja. lakini may be alishindwa kukupa ukweli akiogopa reaction zako hadi aulipogundua ana uhusiano nje, maana nyie wanaume hampendi ukweli, mkiambiwa mnaona mmedhalilishwa au kudharauliwa, kumbe hakuna mtu perfect.
Unaweza ukaongea naye akwambie anachopenda kufanyiwa huko nje kama utaweza kujifunza na yeye akakubali kusahau huko nje mnaweza kuendelea, lakini kama itacontradict belief zako na lifestyle yako let it go, mpe nafasi akapewe kile roho inapenda. All the best.
 
Sawa nitataka anieleze (for the purpose of getting educated), but siwezi endelea kuchovya asali kama tayari jamaa mwingine anachovya. mwache aendelee kuchovyeshana na huyo jamaa
 
Jalia Unamuhudumia kila anachokitaka kutoka A to Z ikatokea siku moja ukagunduwa kuna mtu anachovya asali uitunzayo ,katika kukabiliana nae mpenzi wako ili ujuwe ni kitu gani kilichomfanya achukuwe hatuwa ya kufanya kitendo hicho? katika majibizano yenu akatowa kauli na kusema mambo anayonifanyia yule jamaa wewe hujawahi kunifanyia,Jee utakuwa tayari uyajuwe hayo majambo ili uweze kumfanyia na kutunza penzi lenu?

Ukiona hivyo kaka ujue mefulia, chapa mwendo.
 
Jalia Unamuhudumia kila anachokitaka kutoka A to Z ikatokea siku moja ukagunduwa kuna mtu anachovya asali uitunzayo ,katika kukabiliana nae mpenzi wako ili ujuwe ni kitu gani kilichomfanya achukuwe hatuwa ya kufanya kitendo hicho? katika majibizano yenu akatowa kauli na kusema mambo anayonifanyia yule jamaa wewe hujawahi kunifanyia,Jee utakuwa tayari uyajuwe hayo majambo ili uweze kumfanyia na kutunza penzi lenu?

Ukiona hivyo kaka ujue umefulia, chapa mwendo.
 
Back
Top Bottom