Recent content by kyakumwanya

  1. K

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

    Kamani ivi hiyo thread ya cancer na kusukari ipo? If yes, share it please. Thanks
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

    Swali lako linenikumbusha tukio moja tukiwa O level. Classmate wangu Me and Ke walifumaniwa gheto wakifanya yao (jpili hiyo). Jumatatu taarifa ilifika shule na kuitwa assemble wakapigwa viboko then kurudishwa home kwa mwezi mmoja. Baada ya kupewa suspended muda huohuo wakaelekea porini wakafanya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kero: Mahari sasa yageuzwa chanzo cha kipato

    Nipe mawasikiano ya huyo jamaa,,, nitamuunganisha na mwanasheria wangu. Hapo mzee baba katapeliwa mchana kweupe. Ila ni vizuri pia kutujuza kama huyo jamaa amewahi onja mbunye before huyo mwanamke?. Wazazi wa mwanamke wameona weak point so wanatumia as an opportunity...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu kuwa na Rafiki wa kiume

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]"najua mtasema sivutii, navutia, ila sivutii kivile...."
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mke ana VVU mume hana. Naomba ushauri

    Cc@decemption Kuna uzi ulianzishwa na huyo jamaa hapo you can read and get your advice
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuweka madirisha ya aluminium kwenye nyumba hii

    Nimekucheki PM Mkuu.... tufanye kazi
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi Cup: Waandishi wa habari za michezo mnatia aibu,pamoja na wale wa Azam media

    Unaweza kukuta hata huyo anayewasimamia kidhungu kinampiga chenga...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kukaa gerezani tupeane uzoefu wa mateso, msoto na vimbwanga

    Mkuu, yaani mimi ndo nimeusoma week hii huu uzi, but please if possible naomba niTumie Pm hiyo part 2 ya gerezani kama bado unayo. Thanks in advance
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe ashindwa kutetea Ubunge wake katika Jimbo la Hai

    Kwa maana hiyo katika kura zaidi ya laki moja, hakuna kura hata moja iliyoharibika?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Adhabu ninayoipata tangu nihamie chumba cha master, nipeni maujanja

    Correct, hiyo shingo ya bata huitwa "P trap" Mafundi uchwara mara nyingi hawaiweki hiyo either kwakukwepa gharama yakuinunua, au levels za kuiset ili iendane la level ya bomba linalopeleka huo uchafu kwenye shimo. Ni muhimu sana hiyo katika zoezi la uzuiaji wa harufu kurudi ndani
  11. K

    JamiiForums Tanzania Adhabu ninayoipata tangu nihamie chumba cha master, nipeni maujanja

    Ushauri mzuri kabisa huu. Pia fundi anaweza akaangalia kama kwenye sink la choo hicho waliweka P trap inayosaidia kubakiza maji unayotumia kuflash choo. Hayo maji hubaki hapo ili kuzuia harufu toka shimoni (septic tank) kuja ndani. Kama hiyo p trap ipo basi aiangalie kama iliwekwa vizuri...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Burundi yatangaza kifo cha Rais Pierre Nkurunziza

    Sijui kwann nashindwa kuamini kama Corona ndo imemuondoa jamaa
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mchepuko wangu anataka nimgegede bila kinga

    Huyo anataka mimba tuu saizi, hayo mengine ya wewe ni wapili sijui nini hayana maana.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Riwaya: "Cabo-delgado"-part 01

    Asante sana kiongozi kwa burudani murua
Back
Top Bottom