mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Habari waungwana ?
Leo nimepata swali kutoka kwa Rafiki yangu kua mke wake simu haikai chini anakuambia kuwa ni marafiki tu hana mpango naye ila anaongea nao sana akiwa mume wake hayupo.
Tena anaongea na hao wanaume zaidi ya kawaida maana ameshaona ameongea na huyo mwanaume dakika 56. Je, huu ni urafiki kweli?
Aliwahi kumuliza akasema kuwa ile namba ni ya mtu ambaye anakaa na shemeji yake kwa hiyo huazima na kumpigia.
Licha ya kuwa alimuoa huyu mwanamke akiwa bikra ila amekosa uaminifu wa kuwa naye ingawaje inaonekana anamuogopa maana anasema anataka ampe mimba kisha alee na yeye watoto.
Waungwana mpeni ushauri ulioenda shule maana jamaa anataka kumuacha mwanamke ila anajidai ni watoto ila ukweli nadhani ni mapenzi wako na watoto 2 wa kike na kiume.
Natanguliza shukrani