Adhabu ninayoipata tangu nihamie chumba cha master, nipeni maujanja

baraka bb

JF-Expert Member
Mar 20, 2016
2,691
3,858
Mambo vipi,

Uzi huu ni spesho kwa waliopanga au wenye nyumba za masta tu nikimaanisha choo kipo kwenye chumba cha kulala, Hivi karibuni nimehama kutoka chumba kimoja chenye choo cha nje na kuhamia chumba cha kodi elfu50 choo cha ndani.

Sasa tatizo kila nikikata gogo harufu inarudi chumbani, chumba chote kinakuwa puyaaaa daaaah nakereka sana kama kuna sabauni au Air fresh nzuri ya chooni naomba mnielekeze kukata hii harufu.
 
Wakati mwengine mambo kama haya unatafuta hata fundi hapo mtaani unamshirikisha ili akupe njia ya kusawazisha baadhi ya mambo otherwise utadhalilika kama inavyotokea hapa.

Siyo kwamba humwagi maji mengi uchafu ukaenda, hiyo hali inatokana na mgandamizo wa hewa kwenye shimo kubwa nje so inakosekana njia ya kupumulia, obviously tatizo lipo kwenye line ya kutoka chooni (humo ndani) kwenda kwenye septic tank hawakuweka bomba mbadala kuzuia harufu isirudi ndani, fanya hivi.

Kama pale kwenye shimo kubwa nje imewekwa bomba moja ita fundi akuwekee lingine hapo lilipotokea bomba la kusafirisha uchafu (namaanisha hapo karibu kabisa na ukuta wa choo chako cha ndani) hiyo hali itaisha.
 
Wakati mwengine mambo kama haya unatafuta hata fundi hapo mtaani unamshirikisha ili akupe njia ya kusawazisha baadhi ya mambo otherwise utadhalilika kama inavyotokea hapa...
Mkuu, hapa mimi nimekuelewa vizuri sana.

Lakini nina mashaka kama mleta mada atakuelewa. Anyway, nafikiri mleta mada anatakiwa alete fundi ili abadilishe discharge line kutoka ya kawaida na awekewe ile (P-Trap) yenye kufanana na shingo ya bata.

Ile pipe ya shingo ya bata inafaa zaidi kwasababu itaweza kuzuwia hewa inayo rudi ndani kwa kubakiza masalia ya maji kidogo yatakayo tuama na kufanya mgandamizo wa hewa isirudi ndani
 
Wakati mwengine mambo kama haya unatafuta hata fundi hapo mtaani unamshirikisha ili akupe njia ya kusawazisha baadhi ya mambo otherwise utadhalilika kama inavyotokea hapa...
Ushauri mzuri kabisa huu. Pia fundi anaweza akaangalia kama kwenye sink la choo hicho waliweka P trap inayosaidia kubakiza maji unayotumia kuflash choo. Hayo maji hubaki hapo ili kuzuia harufu toka shimoni (septic tank) kuja ndani. Kama hiyo p trap ipo basi aiangalie kama iliwekwa vizuri.

Otherwise, maelezo ya ujumbe hapo juu yahusike. Inshort hilo tatizo sio lakutatua kwa sabuni. Unless huflash vizuri.
 
Mkuu, hapa mimi nimekuelewa vizuri sana.
Lakini nina mashaka kama mleta mada atakuelewa.....
Anyway, nafikiri mleta mada anatakiwa alete fundi ili abadilishe discharge leni kutoka ya kawaida na awekewe ile yenye kufanana na shingo ya bata.
Ile pipe ya shingo ya bata inafaa zaidi kwasababu itaweza kuzuwia hewa inayo rudi ndani kwa kubakiza masalia ya maji kidogo yatakayo tuama na kufanya mgandamizo wa hewa isirudi ndani
Correct, hiyo shingo ya bata huitwa "P trap"
Mafundi uchwara mara nyingi hawaiweki hiyo either kwakukwepa gharama yakuinunua, au levels za kuiset ili iendane la level ya bomba linalopeleka huo uchafu kwenye shimo. Ni muhimu sana hiyo katika zoezi la uzuiaji wa harufu kurudi ndani
 
Mambo vipi,

Uzi huu ni spesho kwa waliopanga au wenye nyumba za masta tu nikimaanisha choo kipo kweny chumba cha kulala,,,
Hivi karibuni nimeama kutoka chumba kimoja chenye choo cha nje na kuamia chumba cha kodi elfu50 choo cha ndani,,,

Sasa tatzo kila nikikata gogo harufu inarud chumban chumba chote kinakuwa puyaaaa daaaah nakereka sana kama kuna sabauni au Air fresh nzur ya chooni naomba mnielekeze kukata hii harufu,,,
Kuna vumbi la kongo ilo linakata shombo la papuchi chafu
 
Mkuu, kama ukiweza mwambie mwenye nyumba abadikishe mfumo wa maji taka na aweke hiyo pipe Kama ni choo cha kuchuchumaa, lakini kama ni choo cha kukaa aweke cha kufanana na hiyo niliyo ambatanisha picha
images-1.jpg
images.jpg
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom